Christopher Bageni agonga mwamba Mahakamani, sasa anasubiri Kunyongwa tu

Ina maana kati ya hao wote, yeye peke yake ndo aliua bila kushirikiana na yeyote, au hao wengine hongo yao ilitosha?
 
Anaitwa lymo namfahamu walimuwekea Sumu kwenye chakula kwasababu alismua kutoa ushahidi wa kweli zamu yake ya ushahidi na ndiye aliwaokoa wakaachiwa kifo chake.

Halafu yule polis mwanamke alikufa mwaka juzi hapo shekulango flets za police
Nao watalipa tu, maana saa nyingine Mola hutoa malipo hapa hapa duniani!
 
Maisha yana formula...nayo ni mtu unapaswa kuwa mnyenyekevu, mcha Mungu, usiye na majivuno, mpenda haki, unayechukia rushwa na maovu yote, mwenye nidhamu na usiye na chembe ya sifa ya ukatili...

Perfect reply....

This is purely Holy principle of life.....

Yeyote aifuataye, hatakuja kujuta milele....!!
 
Bro labda kipindi kile cha akina zombe yeye alikuwa na 10 yrs. sasa ana 25+yrs. Sidhani kama atajua kinachoongelewa hapa. Ni sawa wale wa kuchota mafuta Moro, wakati wengine walipo kuwa wanaungua kule Mbeya, pengine wao walikuwa 11 and below, umri huo wala hawakujua kilichotokea, 20yrs from then wana below 31. Hawakumbuki kitu, ndiyo maana lori lilipo anguka walikimbilia eneo na tukio wakiwa na madumu. Matokeo yakawa, tukio lilelile lililotukia miaka 20 iliyopita likajirudia.
Kweli muda unakimbia...its now 20 years since lile tukio la mbeya? Mi naona kama jana tu tunacheki ITV...na ndio lilikuwa tukio la kwanza la moto wa tanker nadhani hapa bongo
 
Wafanyabishara walikuwa wasukuma unatarajia nini!?
Na walidhulumiwa uhai! Hawakuwa majambazi!!
Kama issue ni usukuma mbona hata Christopher Bageni ni msukuma? Acheni ukabila jamani. Sheria itachukua mkondo wake.
 
Malipo ni hapa hapa duniani, yaani huyu jamaa na Zombe waliua watu wengi sana, sana kwa kisingizio cha ujambazi jamani, avune alicho panda, kuna wakati unakuja hawa wasio julikana nao watavuna wayafanyayo.
 
Maisha yana formula...nayo ni mtu unapaswa kuwa mnyenyekevu, mcha Mungu, usiye na majivuno, mpenda haki, unayechukia rushwa na maovu yote, mwenye nidhamu na usiye na chembe ya sifa ya ukatili...
Nnacho Manisha ukiishi usijifanye ww uko juu ya kila kitu,chochote kinaweza tokea

Ova
 
Anaitwa lymo namfahamu walimuwekea Sumu kwenye chakula kwasababu alismua kutoa ushahidi wa kweli zamu yake ya ushahidi na ndiye aliwaokoa wakaachiwa kifo chake.

Halafu yule polis mwanamke alikufa mwaka juzi hapo shekulango flets za police
Yule askari aliyefariki kuna utata kwenye kifo chake. Ukifanyika uchunguzi vizuri kunaweza kuwa na makandokando mengi. Hlafu kuna yule aliyetoroka (aliyetoroshwa?). Huyu naye ni shahidi muhimu sana na akipatikana kesi itachukuwa mkondo mpya.
 
Kama issue ni usukuma mbona hata Christopher Bageni ni msukuma? Acheni ukabila jamani. Sheria itachukua mkondo wake.
Waswahili hujuwana kwa vilemba hakuna neno!!! Alidhulum uhai wa wasukuma wenzake watu wa kijiji kimoja na naniloo...
 
Back
Top Bottom