Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 10,137
- 12,182
Zombe aliua kwa remote. Amri zote za kutekeleza uhalifu zilitoka kwake.Sijui yule Zombe alichomoka vipi ila nakumbuka hii kesi ilitikisa Tanzania siku ile inasomwa hukumu watu tulisikiliza redioni hukumu ilichukua muda mrefu sana hadi wakaja kusemwa watu wasihukumu kwa hisia
Kitengo cha ciber kingelikuwepo, wala asingelichomoka.