Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,343
- 217,372
- Thread starter
- #21
kitendo cha dunia kufahamu tu kwamba umehukumiwa kunyongwa ni adhabu kubwa sanaHivi unaamini atanyongwa? mimi siamini.
kitendo cha dunia kufahamu tu kwamba umehukumiwa kunyongwa ni adhabu kubwa sanaHivi unaamini atanyongwa? mimi siamini.
Zombe yuko wapi?Huyu ndata Enzi zake obay pale alikuwa mtata Kweli!
Maisha hayana formula kabisa
Ova
Bado Murotto , analiwa timing tuKwa Sasa hali si nzuri.Binafsi ninapokuwa na hela naogopa polic wasijue Bora lijambaka lijue kuliko Hawa polic wetu(sio wote),Sasa hawachepewi kuita makamera eti 'Tumelimwagia njugu lijambaka limoja lililojaribu kupanga mkwapuo wa mavitu ya raia'
Kilichomuoka Zombe ni kwa vile siku ya tukio hakuwa frontlineZombe yuko wapi?
Kumbe ni wa CCM !?Angekua wa chadema mngesema mahakama imemuonea kwa kua ni mwanachama wenu
Soma post ya PILI na TATU.... kama bado hujamjua nenda MSAMVU ukachote mafuta!
Angekua wa chadema mngesema mahakama imemuonea kwa kua ni mwanachama wenu
Hahaha jamaa una akili nukta sana yaani muda wote unawawaza Chadema tuuuu dahAngekua wa chadema mngesema mahakama imemuonea kwa kua ni mwanachama wenu
Pumbavu kabisa. Hao walikuwa watumishi wa umma ambao hawatakiwi kuwa kada wa vyama vya siasa, majibu ya namna hii yanakfujaje?Angekua wa chadema mngesema mahakama imemuonea kwa kua ni mwanachama wenu
Soma post ya PILI na TATU.... kama bado hujamjua nenda MSAMVU ukachote mafuta!
Je asiponyongwa ataachiwa? Niulize hisia zako.Hivi unaamini atanyongwa? mimi siamini.
Alkua la kwanza2006 ulikua wapi mkuu?
BRo unaiwaza chadema kuliko Mungu wakoAngekua wa chadema mngesema mahakama imemuonea kwa kua ni mwanachama wenu
Kwani hilo zee linamatatizo gani? Mbona me naona linaenda na kasi?Bado Murotto , analiwa timing tu