Christopher Bageni agonga mwamba Mahakamani, sasa anasubiri Kunyongwa tu

Soma post ya PILI na TATU.... kama bado hujamjua nenda MSAMVU ukachote mafuta!

Bro labda kipindi kile cha akina zombe yeye alikuwa na 10 yrs. sasa ana 25+yrs. Sidhani kama atajua kinachoongelewa hapa. Ni sawa wale wa kuchota mafuta Moro, wakati wengine walipo kuwa wanaungua kule Mbeya, pengine wao walikuwa 11 and below, umri huo wala hawakujua kilichotokea, 20yrs from then wana below 31. Hawakumbuki kitu, ndiyo maana lori lilipo anguka walikimbilia eneo na tukio wakiwa na madumu. Matokeo yakawa, tukio lilelile lililotukia miaka 20 iliyopita likajirudia.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom