Christmas (x mass)

Playboy

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,170
936
Naombeni kujua kwanini Christmas hufupishwa kama x mass..nataka kujua "x" inasimama badala ya nn na "mass"inasimama badala ya nn
 
Christmass ni maneno mawili yaliyounganishwa ili kupata neno moja nayo ni christ inayotokana na christ pamoja na mass ambayo ni ibada. Waliamua kuita christmass sababu hiyo ni siku ambayo ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu. Ila xmass ni neno lililoanzishwa kwa wapinga Kristu kwa mgongo wa kifupisho ikiwa na maana x ni herufi ambayo inatumika kukataa kitu fulani. Mfano nyumba ikiwekwa x maana yake haitakiwi hapo na kama ni mfatiliaji utakuta kwa sasa kuna mada mbalimbali zinzohusu uhalali wa sikukuu ya Noeli.
 
Stupid kabisa wewe......Kama hujui maana si bora ukae kimya...Kwanini unakuwa confidence na vitu vya uongo......

X ni kifupi cha neno la Kigiriki "Chi".....Lenye maana ya Christ.... Neno hili limetumika karne na karne....Pia hutumika kutamka manemo mengine kama Xstian.....Christian......

Kama hujui maana ni bora kukaa kimya kulikoni kuonesha umbumbumbu wako...
 
Stupid kabisa wewe......Kama hujuiaana si bora ukae kimya...Kwanini unakuwa confidence na vitu vya uongo......

X ni kifupi cha neno la Kigiriki "Chi".....Lenye maana ya Christ.... Neno hili limetumika karne na karne....Pia hutumika kutamka manemo mengine kama Xstian.....Christian......

Kama hujui maana ni bora kukaa kimya kulikoni kuonesha umbumbumbu wako...

Stupid! Ni siku watu wanafanya ngono kwa wingi " doing X in Mass"
 
Back
Top Bottom