Christmas wana Idodomya....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
Salaam wakuu,
wale wakuu wa Dodoma tupeane basi codes za pilau. Mi baada ya kutoka church nlienda pale Jacana kupata yale mambo yetu pale then nikaliunga Royal Village kudiba kidogo. Kwa sasa nipo African Dreams nazuga zuga ili nianze kusaka coordinates za pilau!
 
Back
Top Bottom