Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Hivi leo ni mkesha wa krismas kweli?Nimepita mitaa kadhaa ya jiji la dareslaam maBar yapo kimya hayana watu kama tulivyozoea miaka ya nyuma.
Barabarani watu wamejawa sura za huzuni,Wengi hawajiamini kabisa.Imekuwa kama vile hizi sikukuu zimekuja ghafla watu hawakujua ujio wake.
Nimegundua wengi mfukoni ni weupe hawana fedha kabisa.Ile mikwara ya shopping za haja haionekani,Lipo tatizo sio bure.