Christine Sintah naye atupa utamu wake kwa mtandao,,,kionjo tu

attachment.php

Who is she??!!

SHE IS TOO FLAT BEHIND!!

Tehee teheeee... She is J'lo wa bongo..
 
kuna vibibi havikubaliani kabisa na matokeo hapa mjini....sintah na baby madaha!...mbona mtu wa umri wao asha baraka wa african stars twanga pepeta ametulia!
 
Ila kana baby face,ana uso mtamu sana,mi napenda lips zake na ka sura kama katoto vile,sema nyuma ndo akina tai chi
 
Umeanza lini tena,ntakugayaa mie ananizidi mie ubaby face muone"!!

Aaah aah, nilikuwa nakuita kijanja uje umu, hana lolote uyo ana sura ngumu kam tikiti maji,umesikia? Hakufikii hat robo uyo,sema tu mwenzio ana blogu hcho ndo kakuzid
 
Aaah aah, nilikuwa nakuita kijanja uje umu, hana lolote uyo ana sura ngumu kam tikiti maji,umesikia? Hakufikii hat robo uyo,sema tu mwenzio ana blogu hcho ndo kakuzid

Mbona hata mi nayoo ngoja nitakuambia baadaee
 
Back
Top Bottom