Christine Sintah naye atupa utamu wake kwa mtandao,,,kionjo tu

Ibrahim300

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
390
68
Kwa mitandao kumingia kero, kila mmoja anatamani hata kwa upeo kujipatia umaarufu zaidi. Kwa akina dada umaarufu wao wa mitandaoni wanatumia miili yao kuonyesha dunia nzima...jambo ambalo kwa ghafla humfanya staa kujulikana kwa uharaka.

Sintah kwa tabia zake za kupinga mambo na kusambaza picha za uputu,,sahizi pia yeye amefuata mkondo.

Hebu tazama picha zinazozosambaa mda huu kwa mtandao

Chanzo Christine Sintah Ameamua Kujiuza Baada Ya Soko Kudidimia(PICHA) - bkuHABARI
 

Attachments

  • 262e67ea24fb11e28d2722000a1f8fa0_7.jpg
    262e67ea24fb11e28d2722000a1f8fa0_7.jpg
    48.9 KB · Views: 3,900
  • dcfbd336510b11e297b922000a1fa527_7.jpg
    dcfbd336510b11e297b922000a1fa527_7.jpg
    35.6 KB · Views: 6,282
  • 4d7abbb030c111e29cc822000a1f96e3_7.jpg
    4d7abbb030c111e29cc822000a1f96e3_7.jpg
    49 KB · Views: 3,094
Mleta mada acha kufanya watu wapumbavu hyo cyo sinta....tafuta picha za sinta cyo hyo
 
Back
Top Bottom