Christina Shusho akiwa ibadani Kanisa Katoliki

Kanisa katoliki limefanya yafuatayo chini ya viongozi wao. Kama hujui, toroka
1. Walibadili siku ya ibada kutoka jumamosi kwenda jumapili
2. Walianzisha ubatizo wa maji ya bakuli badala ya maji mengi
3. Walibadili amri za Mungu kutoka 10-9, lakini wakavunja ya 9 zikawa mbili. Soma kutoka 20
4. Wanaamini Roho haifi. Na kwamba mtu akifa anaweza kuombewa na kasisi hata Kama alikuwa mdhambi akasamehewa na akaenda paradiso
5. Wao ndio wenye zile elimu za toharani ( Pagatory)
6. Papa Ni mungu anaeonekana (Vicar of Christ)
7. Wao ndio madesign wa hizi imani za kilokole. Maproohet na Maapostal wanafaham ilo. Roma Mama lao Mzee soma Uf. 17
Last bt not least. Yeye ndio beast from many water.

Heri asomaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ujinga wa kiwango cha SGR, wakati babu zako wanafanya, na pengine baba yako anafanya kafara na matambiko kwa mizimu huko kwenu Nanjilinji, ma-Papa walikua wanakunywa mvinyo na kuongea na Mungu. You know nothing about kanisa katoliki acha kuongea kama mtu aliyepagawa na mapepo.
 
Njaa na wivu ni chanzo cha chuki na uzushi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa ukapimwe mkoja haraka sana.
Halafu katoliki halijawahi kuwa kanisa takatifu, katoliki ni kanisa la Antipas maana yake ni kanisa mpinga Mungu, ni kanisa la Papa aliyejipa utakatifu na mamlaka ya Mungu, so danganyeni wasiotaka kusoma maandiko ili waujue ukweli wa Neno la Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni parokia gani inakiuka utamaduni wa kanisa inaimba nyibo za furaha wakati kilitrujia huu ni mwezi wa toba na maombolezo? sherehe zote za kanisa zimasimamishwa, ngoma na chereko zote zimesimamishwa hawa wa wapi?
Kwani unajua hiyo video ni ya lini au unakurupuka?
 
Kanisa katoliki limefanya yafuatayo chini ya viongozi wao. Kama hujui, toroka
1. Walibadili siku ya ibada kutoka jumamosi kwenda jumapili
2. Walianzisha ubatizo wa maji ya bakuli badala ya maji mengi
3. Walibadili amri za Mungu kutoka 10-9, lakini wakavunja ya 9 zikawa mbili. Soma kutoka 20
4. Wanaamini Roho haifi. Na kwamba mtu akifa anaweza kuombewa na kasisi hata Kama alikuwa mdhambi akasamehewa na akaenda paradiso
5. Wao ndio wenye zile elimu za toharani ( Pagatory)
6. Papa Ni mungu anaeonekana (Vicar of Christ)
7. Wao ndio madesign wa hizi imani za kilokole. Maproohet na Maapostal wanafaham ilo. Roma Mama lao Mzee soma Uf. 17
Last bt not least. Yeye ndio beast from many water.

Heri asomaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu baadhi umeongea sahihi ila kusema kanisa katoliki ni chanzo cha walokole tena unasema wame design ina maana ulokole ni kuiga? Unaifahamu pentecoste? Ilianza muda UPI?
 
Kanisa katoliki limefanya yafuatayo chini ya viongozi wao. Kama hujui, toroka
1. Walibadili siku ya ibada kutoka jumamosi kwenda jumapili
2. Walianzisha ubatizo wa maji ya bakuli badala ya maji mengi
3. Walibadili amri za Mungu kutoka 10-9, lakini wakavunja ya 9 zikawa mbili. Soma kutoka 20
4. Wanaamini Roho haifi. Na kwamba mtu akifa anaweza kuombewa na kasisi hata Kama alikuwa mdhambi akasamehewa na akaenda paradiso
5. Wao ndio wenye zile elimu za toharani ( Pagatory)
6. Papa Ni mungu anaeonekana (Vicar of Christ)
7. Wao ndio madesign wa hizi imani za kilokole. Maproohet na Maapostal wanafaham ilo. Roma Mama lao Mzee soma Uf. 17
Last bt not least. Yeye ndio beast from many water.
Heri asomaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka wewe ni msabato
 
Ni wachache tu Kama wewe wenye fikra duni. Mungu tu akusamehe maana hujui utendalo.
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha SGR, wakati babu zako wanafanya, na pengine baba yako anafanya kafara na matambiko kwa mizimu huko kwenu Nanjilinji, ma-Papa walikua wanakunywa mvinyo na kuongea na Mungu. You know nothing about kanisa katoliki acha kuongea kama mtu aliyepagawa na mapepo.
Huyo jamaa ni miongoni tu mwa wajinga wachache. Hajui akisemacho. Achana naye
 
Kanisa katoliki limefanya yafuatayo chini ya viongozi wao. Kama hujui, toroka
1. Walibadili siku ya ibada kutoka jumamosi kwenda jumapili
2. Walianzisha ubatizo wa maji ya bakuli badala ya maji mengi
3. Walibadili amri za Mungu kutoka 10-9, lakini wakavunja ya 9 zikawa mbili. Soma kutoka 20
4. Wanaamini Roho haifi. Na kwamba mtu akifa anaweza kuombewa na kasisi hata Kama alikuwa mdhambi akasamehewa na akaenda paradiso
5. Wao ndio wenye zile elimu za toharani ( Pagatory)
6. Papa Ni mungu anaeonekana (Vicar of Christ)
7. Wao ndio madesign wa hizi imani za kilokole. Maproohet na Maapostal wanafaham ilo. Roma Mama lao Mzee soma Uf. 17
Last bt not least. Yeye ndio beast from many water.

Heri asomaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani.
Point no 7 fanya clarification.
Are born again churches part of The Papacy?
Namna gani?
 
Back
Top Bottom