Christian man for a marriage

Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
1,615
2,000
Japo kwenye kipengele Cha kumcha Mungu hapo huwa tunakosea sana kukitaja alafu mwenye kukitaja yeye hakitendei haki hata kidogo, niliwahi zama pm kwa mtu mwenye maneno haya kumpenda Mungu nilichokutana nacho ni tofauti kabisa
 
Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Dec 14, 2016
13,298
2,000
Nadhani kuna haja ya kujua unacho kitafuta kabla hujaanza kukitafuta

Mwanamke unatafuta mwanaume ila unataka awe wa aina fulan

Kwa upande wa umri mi sina tatizo napo

Ila kusema awe chuo kikuu hapo mnakosea sana wapo wenye uhitaji kabisa na wanauwezo wa kulea familia na wanafanya shughuli zao halali

Unapishana nao kwa kuwa wanaona hawafai kuwa sehemu yako

Wanao toa tangazo kama Hili unaweza kutoa sifa unazo zitaka ila baadhi ya sifa zikapatikana mnapo fahamiana zaidi

Elimu isiwanyime watu ndoa
 
Abrianna

JF-Expert Member
Mar 30, 2021
4,573
2,000
Natafuta mwenza mwanaume wa makamo
Awe mkweli na tayari kuwa katika mahusiano yatakayozaa ndoa
Awe na umri 30 to 45
Awe mfanyakazi halali ,biashara au mwajiriwa mwenye kipato cha kuweza kuhudumia familia
Awe mwaminifu mwanaume aliyemaliza ujana,na aliyechoka drama za mahusiano na kuumizwa
Awe mkristo ,mwenye hofu ya Mungu sana na awe tayari kumtumikia MUNGU ALIYE HAI
AWE DSM AU MIKOA JIRANI
AWE NA MAPENZI YA DHATI NA AFYA NJEMA
ASIWE MLEVI WA OMBE,WALA KUVUTA SIGARA
AWE MSOMI
AWENADHIFU
ALIYE SERIOUS NA KWEL ANATAFUTA MKE NA SIO TAMAA PM

NINA UMRI WA MIAKA 34, NI MWANAMKE MWENYE HESHIMA NA NIMEKUWA KIAKILI
MKRISTO
MCHA MUNGU
SIYO TEGEMEZA NAJISHUGHULISHA NA BIASHARA NDOGO NDOGO, NINA NIA YA DHATI YA KUANZISHA MAHUSIANO YATAKAYOLETA NDOA , NAAMINI MUNGU ANAWEZA KUNIKUTANISHA NA MUME WANGU HAPA,
Hivi wanaume wanafeli wapi jamani, inafika hatua mpaka KE zinakuja kwenye mtandao kutafuta mume, wanaume mpo wapi au hamtongozi mtaani, ni jukumu la wanaume kutafuta mke na sio jukumu la mwanamke kutafuta mume
 
evonik

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
3,009
2,000
Hivi wanaume wanafeli wapi jamani, inafika hatua mpaka KE zinakuja kwenye mtandao kutafuta mume, wanaume mpo wapi au hamtongozi mtaani, ni jukumu la wanaume kutafuta mke na sio jukumu la mwanamke kutafuta mume
Acha kabisa mkuu hayajakukuta, hawa viumbe pasua kichwa ndo mana tunapita,kimya km hatujui vile
 
munisijo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
1,081
2,000
Kwanini wanawake wanaotafuta Waume wameongezeka sana siku izi?.,
Kwa sababu wanaume wanaostahili kuwa 'waume' wamepungua sana kwenye pool hivyo demand is bigger than supply.

Baadhi ya sababu ni kama vile:

  • Wanaume kutokuwa tayari kuoa hata kama ana sifa zote
  • Wanaume kuamua kuchelewa sana kuoa
  • Ukosefu wa kipato cha kutosha kuendesha familia i.e. COVID effect
  • Changamoto za kiafya na magonjwa i.e Vitambi na uzembe
  • Uhalifu i.e. Jela

n,k
 
munisijo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
1,081
2,000
Hivi wanaume wanafeli wapi jamani, inafika hatua mpaka KE zinakuja kwenye mtandao kutafuta mume, wanaume mpo wapi au hamtongozi mtaani, ni jukumu la wanaume kutafuta mke na sio jukumu la mwanamke kutafuta mume

Umechelewa sana, amka.

Tupo karne ya 21 now
 
Abrianna

JF-Expert Member
Mar 30, 2021
4,573
2,000
Acha kabisa mkuu hayajakukuta, hawa viumbe pasua kichwa ndo mana tunapita,kimya km hatujui vile
Asili ya mwanamke inapotea kwa kasi sana, zamani tulikua tunasubiri kutongozwa tena tulikua tunaringa kweli, unaweza tongozwa mwaka mzima unadengua na bado njemba inaendelea kukufukuzia haichoki

Ila siku hizi wanaume wa dizaini hiyo hawapo, vijana wetu wa kike wanapata tabu sana, mpaka wanafikia hatua ya kutafuta wenyewe, yaani anatongoza mwenyewe na wengine hadi mahari wanalipa, hii dunia sijui inakwenda wapi
 
tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
15,575
2,000
Sifa zooote ninazo is ipo isipokuwa nipo mbali na pia huwa naonja onja St.Anne kidogo na kuacha nimeshindwa daah!

Na hivi nina kiu ya kuoa! Safari ya kujenga family ngumu sn Mungu tusaidie.
 
Mkwaha

JF-Expert Member
Oct 4, 2012
1,690
2,000
Hivi wanaume wanafeli wapi jamani, inafika hatua mpaka KE zinakuja kwenye mtandao kutafuta mume, wanaume mpo wapi au hamtongozi mtaani, ni jukumu la wanaume kutafuta mke na sio jukumu la mwanamke kutafuta mume
Masela wa kugegeda wapo top shida mume wa kukuweka ndani hapo ndipo tatizo lilipo. Ongeza na vigezo kama hivyo utadhani unataka kuomba mkopo mbona atasubili sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom