Chriss lukosi ni moja kati ya wale walio vaa miwani ya mbao?

mukandarasi

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
932
275
Nimekuwa nikisoma maandishi ambayo ni mawazo yake,sijaona au kuelewa kama anaishi na wananchi au wawekezaji wa nchi hii! Amekuwa upande ambao wawekezaji wanafurahia nchi hii kuliko wazalendo, wanavyotaka nchi na utawala wake uwe!Wanachi wenzangu niambieni nani ana amani ya maisha mahali anapo ishii?Mkulima ana yake,mwalimu, Mtumishi wa H/mashauri,Wazabuni,Wakandarasi,wakulima na wengineo wengi! Sasa kama Cdm wanaongelea lengolao kurekebisha hali za wana Tz.Wewe Chriss unaumia nini?
 
mkuu wakati inaandika hii post ulikuwa wapi ulikuwa unkunywa zanzi nini tena na iroba nini? kwani huyu jamaa hana hadhi ya kepewa hata uzi.
 
Chris Lukos nae ana akili huyu jamaa alipoteza channel wakati alivyokuwa Police nasikia waliiba kwa mzee mmoja huko Ludewa na hapo hapo mzee kampiga kipapai so yupo yupo tu mnamuona anabeba box lakini mwenzenu hamnazo
 
Huyu Chris lukosi aliiba rambi rambi za mke wa marehemu mwangosi , sasa laana inamtafuna ndiyo maana hajitambuwi.huyu mtu anahitaji maombi.
 
Chris Lukos nae ana akili huyu jamaa alipoteza channel wakati alivyokuwa Police nasikia waliiba kwa mzee mmoja huko Ludewa na hapo hapo mzee kampiga kipapai so yupo yupo tu mnamuona anabeba box lakini mwenzenu hamnazo



Heeeeeee, kumbe jamaa chizi, yaani mpaka anabeba mabox tena? Anazurura nayo mitaani ama kuna sehemu anayapeleka?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom