Ndo tuache kuishi kwa mazoea sasa, majira yanabadiliko nasi tunatakiwa tubadilike.Tulizoea kuona mvua ktk sikukuu za chrismss hata manyunyu tu, ila safari hii mmh..........
Msata ilinyeshaTulizoea kuona mvua ktk sikukuu za chrismss hata manyunyu tu, ila safari hii mmh..........
Ndio kule kilingeni kwetuMshana una uhakika msata ilinyesha?
Hii hali inakineemesha kinanonaHa ha haaa hujaacha tu mkuu!? Na haliii ngumu kilinge vipi...