Chrismass hata mvua hakuna mmh!

njeeseka

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,371
976
Tulizoea kuona mvua ktk sikukuu za chrismss hata manyunyu tu, ila safari hii mmh..........
 
Tusubirie tarehe moja ,hapo ndo mvua inakuwa lazima.ikipita wola tujue ni janga
 
Wakati wa kukatwa miti ya kutengenezea mkaa au pori kuvunwa mbao,kuni watu wanachekelea,mvua zikiadimika malalamiko mengi yanawatoka
 
Ha ha haa mvua had tarehe moja!? Mmmh si itakuwa karibu na tarehe ada za watoto....
 
Hawa wataalam wenye vilinge siku hizi hawana ishu enzi hizo....chrissmass tamu kweli ukinyeshewa mvua...siku hizi hata wao hawajui tunakoelekea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom