sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,021
- 5,253
Kwa Tanzania ushuru wa gari jipya (used la miaka ya karibuni) ni mkubwa zaidi kuliko ushuru wa gari la zamani la aina hiyohiyo. Yaani ushuru wa Toyota Mark X ya 2007 ni mdogo kuliko ushuru wa Toyota Mark X ya 2012. CiF walizojiwekea TRA kwenye kalkuleta yao ndio inaleta mahesabu kichaa ya hivyoGari jipya bei ya kununua iko juu lakini ushuru mdogo.
Gari chakavu bei ndogo lakini ushuru unatisha...hii ni kulipia uchakavu