Chris Brown might be the best dancer ever....

You call this best, uh? My young bruh got alot of cool moves than these if you call this best
 
Here he is dancing to Future's 'Mask off', my fave joint at the moment followed by T-shirt [Migos] and Both [Gucci Mane feat Drake].

I've gotta admit...he kilt it. The boy can bend in all kinds of ways.

What say you?

This must be the most extreme example of mid-life crisis I have ever come across. Todally ridiculous!
 
acha kuzingua,hakuna dance move mpya nje ya zile za wacko jacko..wanazifanyia remix tu
Kana kwamba hakuna mtu aliyewahi kuwa dancer kabla ya michael jackson??
Au katika kipindi cha michael jackson hakukuwa na madensa wengine ambao sio famous? US ni kubwa mzee, so anapo-shine mtu mmoja usifikiri kwamba hakuna wengine.
Kwahiyo wacha ubishi wa kitoto
 
USA sio Afrika,rekodi zote zipo,tuambie msanii gani alikuwa anavunja pops kama MJ kabla,usivamie fani usizozijua wewe
 
Unaongea usichokijua, yani kwa ujinga wako unadhani watu wanaojua kudance ni mpaka wawe wanamuziki??
Alafu eti unasema wamewekwa kwenye historia hahaha,
Hii inaonesha ni jinsi gani kichwani mwako kuna mavi ya nguruwe,
Soma vizuri pale nilipokwambia kwamba wapo watu wengi sana waliokuwa wanadance mitaani na hawakuwa famous kama michael,
sasa wewe ungang'ang'ania mpaka waandikwe kwenye vitabu, wataandikwaje wakati wao sio maarufu? Waandikwe kwa kipi?
Tena zamani kulikuwa hakuna social network hivyo huenda michael alikuwa anaiba style za kudance kwa hao local dancers, na walikuwa hawana sehemu ya kwenda kuitangazia dunia kwamba kazi zao zimekopiwa...
Tuliza kichwa dogo
 
ushapotea,tunaongelea wanamuziki hapa(specifically comparison between chris brown na MJ),hayo ya street dancers(sijui akina Boogaloo) yafungulie uzi wake...stay on point black man!
 
Tunawajudje as dancers, hapo tunajadili industry nzima ya madensa, kwahiyo huwezi kusema eti wanajadiliwa wasanii pekeyao, hapa usanii wao wa kuimba tumeuweka pembeni kwahiyo obvious tunajadili madensa,
sasa iweje ukatae mifano niliyoitoa kuhusu street dancers ambao tofauti yao na michael ni umaharufu tu..?
Una akili kweli wewe??
 
Tunawajudje as dancers, hapo tunajadili industry nzima ya madensa, kwahiyo huwezi kusema eti wanajadiliwa wasanii pekeyao, hapa usanii wao wa kuimba tumeuweka pembeni kwahiyo obvious tunajadili madensa,
sasa iweje ukatae mifano niliyoitoa kuhusu street dancers ambao tofauti na yao na michael ni umaharufu tu..?
Una akili kweli wewe??
kukuelewesha wewe ni kazi,wewe umemlinganisha brown na jackson,ghafla baada ya kushindwa hoja ukarukia all dancers(wtf!!!)..kwanza unatakiwa kuchapwa bakora kwa kulinganisha vunja za michael na mambo ya kipuuzi
 
Kwenye kundi la wanaojua judance michael simuhesabu,
Mj ovyo sana, yani anashindwa hadi na mastage show wake!! Nakushangaa unavyomkuza
 
kwa huo mstari(bolded red) umenifanya niache kujibizana na wewe kuhusu anga hizi za muziki,nakushauri hiyo kauli iongee kwa mara ya mwisho maana utachekwa...nimefunga mjadala
Jiulize ulivyokuwa mdogo ulikuwa unadhani watoto wanapatikana vipi??
Then ndio utajua kwamba zamani kulikuwa kuna mapungufu mengi tu ikiwemo hao madensa, na kwa kipindi kile mlikuwa mnaona kwamba yupo sahihi kwakua macho yote yalikuwa yanamtizama yeye tu huku mkiwanyima madensa wengine fursa za kuonyesha vipaji vyao... Sasahivi hali ni tofauti, watu wana dance mpaka michael alivyoona tu akapata presha akafa manake hakuamini macho yake....
 
nakwambia hivi,hakuna mwanamuziki wa r&b atakuja kuintroduce dance move yake kabla hajacheza move ya michael,tazama dancers wote,na michael ndio muasisi wa hizo moves hata ukiwauliza akina usher raymond watakwambia hivyo...katika move mpya atakazoche atajikuta kacheza za MJ saba kwenye kumi zake,kama hutaki acha.
 
MJ with dance on smooth criminal, thriller, bele Jean. Acheni utani kumfananisha na CB
 
Back
Top Bottom