chorus/kiitikio

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,754
ili wimbo unoge unahitaji kiitikio, kuna viitikio vya aina nyingi vya kuchekesha kuhuzunisha, tata na vingine vinakwaza
kuna hiki hapa cha fm academia ...utamu wa vanila eeh utamu...! Kinaniacha hoi mno
LETE CHAKO
 
hakunaga saa yangu mi nawewe! hakunaga saa yangu me nawewee
 
nibebeee eeh nami nikuonyeshe mpenzi cha kukuupaaa ili usiendeeee -Nyota ndogo
 
kiuno kata kiuno cheza aha aha! hakuna kulala hata kama hujala -wanaume Tmk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom