Wakenya bwana wivu unawatafuna *****...
Watakoma Siku tutakapo muumba yule raisi wao mpenda misele.Wana haha kisenge utafikiri wanaoga nje.
hio picha umeweka hapo ni chopper ya kampuni ya bell ya marekani... tena iko na nambari ya usajili ya kenya ambayo hua inaanza na 5Y-Hii ndo picha ya chopper ya kibongo so acheni kuleta kejeri instead of kupongeza
Inalazimu nikuunge mkono. Mleta mada, be honest. Tizama mpaka na hiyo tovuti ya KiNigeria www. naij. com kwenye picha.Ile chopa kule mwanzoni mwa uzi imebuniwa na mnaijeria joewathika amesoma uzi NAIRALAND forums.