Chopa za CHADEMA zina husiana vipi na uvunjifu wa amani,RPC-Iringa?

kabla ya kufikia ulinzi wa kura kwa chopper,je hakuna njia nyingine ya ulinzi wa kura katka chaguzi zetu?nani anaweza tu kutuelimisha jinsi gani chopper itatumika kulinda kura?Tz kuna vyama vingapi vya siasa zinazoshiriki ktk uchaguzi?Kama vyote vikiamua kila kimoja kutumia ulinzi huo kwa kutumia hata zaidi ya chopper 1 hali ya anga itakuwaje?

acha umburula, anaetoa kibali cha helikopta kuruka angani ni tanzania civil aviation authority na sio huyo rpc failure. asiingilie kazi za watu. kikubwa nikwamba hiyo chopa ikiwa angani siku hiyo isiwe imepakwa rangi za cdm na mgombea wake asivae mavazi ya cdm. thats all.
 
Mbowe ongoyma makanda kulinda kura na kutokana na geografia ya kalenga ili muweze kufika vituo vyote 216 chopa haiepukiki. makanda huwa hawaogopi vitisho vya wadhalimu waliochoka kifikra. ktk hali ya kawaida tu unafikiri kamanda mvungi atasema nini kwa ccm kama sio kuitisha chadema ili ipige mkenge ili na yeye apate ulaji.
 
Kakosa hoja hili ndio tatizo kuwa na ma RPc vibaraka na wasio na shule.analidhalilisha hata jeshi la polisi.mbumbumbu kabisa.
 
inamaana ukizunguka na chopa angani utazuia wizi wa kura, acheni kutudanganya jamani??

tumia akili kufikiri na sio kalio..chopa ina tumika kusambaza nawakala wa chama, pia kugawa chakula kwa mawakala. hujui hata chopa ni chombo cha usafiri?
 
Hakuna sheria ya kuzuia usafiri wa m2 labda uwe wa ungo! Chopa kama kawa ila nembo za cdm zitatolewa chadema vema.
 
Back
Top Bottom