Chopa Mchopanga awa mkuu wa Wilaya Rorya

Mama Samia nakuomba nami ni mzalendo ninayefuata falsafa zako ktk uongozi.Usinisahau awamu ijayo.Nitawatumikia wananchi kwa haki na uwazi na kuleta maendeleo
 
🤣 🤣 🤣Nimekosa nini? Ukuu wa Wilaya? Kweli hii nchi tuna matatizo makubwa. Hivi ukuu wa wilaya nao ni cheo cha kulilia? Kweli mtu mwenye akili aache shughuli zake kwa cheo ambacho inabidi uishi kama panya bila kujua kesho inakuja na nini? Samahani sana.
Kingekuwa sio cheyo kizuri usingekuwa unalia Lia hapa
 
Kwani kina Newton hawaeleweki? Au wewe ndiyo huwalewi? Kwa taarifa: hata mambo ya kawaida unaweza usiyaelewe.
Unapata ahueni ya kisaikolojia unapojidanganya akili yako unaongea mambo magumu watu wanajishindwa kuyaelewa. Ni ugonjwa wa akili. You need to be confined and institutionalized seeing a psychiatrist might save you.
 
Aisee ni sirikali ya aina yake ...

Labda ataendeleza uigizaji huko kwenye UDC

Na hatimaye filamu zetu zitakwenda Holly Wood.
Uigizaji ni kazi tu kama ilivyokua ualimu wa korosho ukuu wa wilya na uraisi sio kazi professional mtu yeyote timamu anaweza
 
Daah ni haki ya kila mtu kuteuliwa lakini hapa sijui kigezo gani kimetumika...huenda una sifa muhimu imejificha, hongera kijana
Hizi ni nafasi za vijana zinazokusudiwa kuwatayarisha kwa ajili ya kuja kushika nafasi zingine za juu zaidi. Xinawafaa zaidi watu ambao hawazidi umri wa miaka 45. Ni maoni yangu binafsi, Katiba yetu haisemi hivyo
 
Umeongea ukweli mtupu. TISS, Polisi, PCCB zina wasomi wazuri na wazalendo. Leo hii unaenda kuchukua kina Jerry Muro? Nick wa Pili n.k
CCM ni zaidi ya kansa.
Sikuizi wanaangailia majina.(elimu)
 
Dc
Screenshot_20210621-130016_Instagram.jpg
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom