kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,043
- 10,274
Elimu ya bongo
Daah!! Nawaza tu saa ya Mwalimu kwenda kujisaidia nakuwaje?
Au ndio itakuwa wanajisaidia saa wanafunzi wakiwa darasani mana hapana hata mlango. Au ndio watakuwa wanasindikizana kisha mmoja kusimama mlangoni kazi yake ahakikishe wanafunzi hawapiti hapo.
[/QUOTE
Wabunge saa zingine watengenezage tu vyoo kwa kupitia hela za mfuko wa jimbo kuliko kuanza kupiga picha namna hiyo na kuzirusha mitandaoni, mimi naona kama anawadhalilisha waalimu, sijui lakini
Wabunge saa zingine watengenezage tu hivyo vyoo kupitia fedha za mfuko wa jimbo kuliko kuanza kupiga picha na kuzirusha mitandaoni.Daah!! Nawaza tu saa ya Mwalimu kwenda kujisaidia nakuwaje?
Au ndio itakuwa wanajisaidia saa wanafunzi wakiwa darasani mana hapana hata mlango. Au ndio watakuwa wanasindikizana kisha mmoja kusimama mlangoni kazi yake ahakikishe wanafunzi hawapiti hapo.