Chongolo hukijengi chama bali unakibomoa kwa kurudisha makundi ndani ya CCM. Hisia zangu chama kineanda kukatika vipande viwili

Comrade Chongolo sio mpumbavu kama kina Bashiru waliokuwa wananunua watu badala ya kumwaga sera.

Chongolo atairudisha CCM kwenye mstari.

Nyie timu Magu kila mtu hamumtaki. Samia hamumtaki, Makamba hamumtaki, CHADEMA hamuwataki sasa hadi Chongolo hamumtaki.

Nyie mna mapepo njooni niwaombee.
Tumbaku tupu
 
Naona makada wa kijani mmeamua kukisaliti chama chenu huku mitandaoni, kwa vyovyote vile kuna mirija ya posho huenda imekatwa, njaa tupu.
 
Chama ambacho uhai wake upo kwenye kupiga wapinzani wake risasi, kuteka na kubambikiza kesi za ugaidi na utalatishaji fedha sio chama cha siasa hicho ni kikundi cha mafia
Ndio maana hata wenyewe hamheshimiani
 
Ni ukweli pasipo shaka Magufuli alikirudisha Chama kwenye mstari.
Je utakubaliana na mimi kuwa ndani yake kulikuwa na kikundi cha wasiojulikana?

Huku mitaani wanasema Hangaya amejiwekea mazingira magumu kuuzika kwa chama 2025.
Sababu kuu in
1.Issue ya Machinga.
2.Kamatakamata ya wapinzani.
3.Kurithi kesi zakusadikika.
4.Umeme kukatika ovyo.
5.Kuwateua waliodharau taasisi nyingine za vyama.
6.Mkuu wa bunge hapendeki ndani na nje ya bunge.

Anachohubiri Chongolo nikama anachochea makundi.Kipimo wanadai aamuru kila mbunge aitishe mikutano ya hadhara wananchi wawe guru kuuliza maswali.
Njia pekee ya kumtoa Samia madarakani labda jeshi limpindue
Magufuli alishaua njia zote za raia kumuwanibisha kiongozi kwa njia ya kura kama hawampendi..
 
Naona makada wa kijani mmeamua kukisaliti chama chenu huku mitandaoni, kwa vyovyote vile kuna mirija ya posho huenda imekatwa, njaa tupu.
Uzuri wa CCM kukosoana ni haki yao kikatiba ,sio ile Sacco's ya Ufipa , Mbowe hakoseagi daima
 
Kwa taarifa yako hakuna kitu kinaitwa ccm, bali kuna dola iliyojificha ndani ya ccm ikifanya siasa. Siku hicho mnachoita ccm kikisambaratika dola iliyo ndani ya ccm, itajitokeza kufanya siasa wazi wazi bila hilo koti.

Magufuli aliamua kufuatilia mali za ccm , lakini ripoti iliyopelekwa mezani kwani alishindwa cha kufanya, maana aligundua ccm sio chama bali ni genge la walaji. Hiyo ndio iliyosababisha Magufuli kunajisi chaguzi zote za nchi hii, maana aligundua ccm haina hata wanachama wa kweli wa kuiwezesha kushinda uchaguzi. Ukweli huu unafahamika na vyombo vya dola ambavyo ndio mbeleko ya ccm, hivyo kama unataka kuondoka we ondoka tu na hao sukuma gang wenzako, lakini hakuna kitu kinaitwa ccm.
Tindo umeua kabisa,
Kwa uthubutu wa Magufulu kushusha jengo la Tanesco nini kilimshinda kuweka wazi ripoti ya Mali za chama.
 
Nimetoka na hii hapa...

"... Zipo hujuma za wazi kabisa dhidi ya miradi ya kimkakati lakini chama kipo kimya serikali ipo kimya .hii haikubaliki hata kidogo."
 
2025 rasmi kukatika vipande viwili,watake wasitake,tumechoka huu upuuzi wa kuunda safu
 
Ni ukweli pasipo shaka Magufuli alikirudisha Chama kwenye mstari.
Je utakubaliana na mimi kuwa ndani yake kulikuwa na kikundi cha wasiojulikana?

Huku mitaani wanasema Hangaya amejiwekea mazingira magumu kuuzika kwa chama 2025.
Sababu kuu in
1.Issue ya Machinga.
2.Kamatakamata ya wapinzani.
3.Kurithi kesi zakusadikika.
4.Umeme kukatika ovyo.
5.Kuwateua waliodharau taasisi nyingine za vyama.
6.Mkuu wa bunge hapendeki ndani na nje ya bunge.

Anachohubiri Chongolo nikama anachochea makundi.Kipimo wanadai aamuru kila mbunge aitishe mikutano ya hadhara wananchi wawe guru kuuliza maswali.
Mmachjnga wamefanyaje mangi
 
Ficha upumbavu wako thread iko wazi kabisa ikiwa na mifano rahisi ,wewe unaleta ngonjera bila hata mfano mmoja wa kusapoti madai yako, pathetic!
nahisi kundi lako lineminywa, zile tip hamna..

hoja gani hazina kichwa wala miguu mradi ujenge hoja yako sukuma gang kupigwa chini
 
Ngoja ukweli tuuseme hapa hapa ili kuweka kumbukumbu sawa.

Unapomtaja Chongolo maana yake unamtaja Samia na unampotaja Bashiru maana yake unamtaja Magufuli. Hivyo kama ni pongezi au lawama zinapaswa kuwalenga Samia au Magufuli kwa siasa zao ndani ya CCM, tusikwepeshe maneno.

Pili, ukweli ni kwamba anachokifanya Samia sasa (kupitia Chongolo) ndio kitu kile kile alichokuwa anakifanya Magufuli (kupitia Bashiru), yaani kufumua mfumo wote wa watendaji wa CCM uliokuwepo halafu simika mfumo mpya uliojaa watu wako tu. Na kwanini wanafanya hayo, jibu ni moja tu, wote wawili (Samia na Magufuli) hawakuwahi kuwa na nguvu au mtandao mpana wa kisiasa ndani ya CCM kabla ya kuzawadiwa urais na kisha uenyekiti wa CCM. Yaani hawakuwa wanakubalika vyema na wanaCCM waandamizi kabla ya kupata madaraka.

Magufuli alikuwa ovyo....
Samia yuko ovyo....
CCM iko ovyo ovyo.
 
Nakumbuka ilifikia mahala tuliona aibu kuvaa sare za hiki chama ,chama kilijaa wapigaji waliojimilikisha raslimali za chama chetu,
Chama kiliishi kwa kutembeza bakuri kwa watanzania wenzetu wenye ukwasi , wahindi ,waarabu ,ambao ni wafanyabiashara wakubwa ,ambao nao walitumia nafasi hiyo kukwepea kodi za serikali,

Alipoingia Magufuli,alikusanya Assets zote za CCM,alihakikisha kwamba chama ni kikubwa kuliko mwanachama yoyote,akahakikisha CCM inajitegemea kilaslimali fedha ,chama kikaondokana na utegemezi, account ya chama ikanona kwelikweli, umimi ndani ya CCM ukatoweka ,chama kikarudi kwa wanachama na kuwa taasisi imara zaidi.

Cha kustajaabisha chama unakifumua kwa maslahi binafsi ukilenga chaguzi ijayo. Hili linajidhihirisha kwa kutengua makatibu wa CCM wengi kwa mkupuo na haraka sana ,ukizingatia hili halijawahi fanyika toka tupate uhuru.

Hapa umejikita kwa kuamini unamsaidia mwenyekiti,fahamu unamchimbia kaburi tu la kisiasa . mwenyekiti salama yake kama kiongozi ipo katika uwajibikaji uliotukuka kwa kutatua kero sugu za wananchi hasa rushwa kubwa na ndogo ndogo.

Aliyofanya hayati Magufuli kwa upande wa CCM yalikuwa yenye tija sana na sisi wanachama wa chini wa kawaida tulimuelewa .

Tulianza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama pasi kuhofia kutokuwa na pesa ,lakini kabla ya Magufuli ilitegemea nani yuko juu yako mwenye maamuz,i au fedha ulionayo.

Nionavyo ,kwa kasi kubwa unaturudisha huko tulipotoka ,kumbuka chama legelege huzaa serikali legelege

Nikuhakikishie sisi wafia chama hatutakubali kurudi utumwani misri,na huko tuelekeako ndio mwisho hii taasisi ambayo mnataka kuirudisha kwenye umimi .

Fukuto ni kubwa na hatukubaliani na kinachondelea ndani ya chama na serikali. Zipo hujuma za wazi kabisa dhidi ya miradi ya kimkakati lakini chama kipo kimya serikali ipo kimya .hii haikubaliki hata kidogo.

Nimekusikia ukiwa mkoani Kagera na wazee wa CCM unasema siasa sio uadui ,lakini unarudisha safu kuleta makundi na uadui ndani chama .mshauri wako anakudanganya.nijuacho waliomlalamikia Magufuli ni wale walionyanganywa mali za CCM,mengine ni uzushi tu.

Nikufahamishe ,kwa sasa tumeelimika,hatudanganyiki tena mkituzingua tutawazingua,

Mwisho, kama hutajali achieni taarifa ya ukaguzi wa mali za chama ,maarufu kama ripoti ya Bashiru, na ripoti yako wewe Chongolo dhidi ya Bashiru na sekretarieti yake kipindi cha Magufuli, tulinganie ni kipindi kipi chama kilifanya vizuri au vibaya ili twende sawa, lengo tufahamu ipi ni CCM makini ya kuanzia kwa Makamba, Kinana na sekretarieti zake, au ya Magufuli na Bashiru, tuna jambo tunahitaji kujifunza
Toaneni macho inzi wa kijani nyie. Mkishapofushana ndio nchi hii itaenda kupona. Wewe mwenyewe unajitia kuwa na uchungu na chama kwasababu unaona maslahi yako yapo mashakani ndio unajitutumua. Muuane muishe umbwa nyie.
 
Mkuuu jiandae kupigwa mawe na matusi na unasababisha magufuli atukanywe mkuu
 
CCM ruksa kukosoana,ndio uzuri wa hiki chama ,sio kile kisakozi chenu cha gaidi

Mahali pa kukosoana ni kwenye vikao vya chama sio huku vichochoroni. Weka jina lako halisi kisha kosoa uone kama xmas ya mwaka huu utailia kwenye familia yako.

Yule peasant wenu alivamia madaraka kichwa kichwa na kuwajaza sukuma gang wenzake, sasa hayupo na nyie makarai yake mnachomolewa kimya kimya na wajanja wa mjini. Na kwa taarifa yako hao wapigaji wa mjini hawawaogopi nyie mapeasant, bali walikuwa wanaogopa kelele za wapinzani. Yule boya wenu kaleta kiburi cha madaraka kuwafanyizia wapinzani, matokeo yake wapinzani hawapo na nyie washamba hamna chenu ndani ya ccm. Na ikifika 2025, nyie washamba mtabaki kuwabebea briefcase akina Januari, na vile dhalimu aliwaonyesha ushenzi wa kupita bila kupingwa, ndio imeisha hiyo.
 
Tindo umeua kabisa,
Kwa uthubutu wa Magufulu kushusha jengo la Tanesco nini kilimshinda kuweka wazi ripoti ya Mali za chama.

Si ndio hapo sasa, huyo boya mleta post anasema eti ccm walikuwa wanatembea kifua mbele, utadhani walikuwa wanatembea kifua mbele kwa ushindani au ushawishi wa kisiasa, kumbe ni hofu ya lile kundi la yule kiongozi muovu la watu wasiojulikana, waliokuwa wakiteka na kuuwa watu. Chaguzi zote tulikuwa tunaona mabox ya kura yakiletwa na wahuni, kisha polisi na tume ya uchaguzi wakawa kimya. Kwenye uchaguzi mkuu tuliona watu wa usalama wakilazimisha matokeo ya kupika, huku mawakala wa upinzani wakitolewa na hata kunyimwa fomu za matokeo. Sasa huyo mjinga mleta uzi anatishia eti kuna ccm. Chama kilikuwa mikononi mwa mtu muovu, kisha uovu ndio ukageuzwa uimara wa chama!
 
Unajua thetallest,anayeinjinia hii CCM ya sasa ni kiongozi mstaafu,haamini kama zama zake zimepita na alishindwa kukijenga kama taasisi imara
Kwani kipindi cha dhalimu ilikuwa taasisi imara. Taasisi imara isiyoweza kushindana kwenye uchaguzi?! Naona unachanganya uimara wa taasisi, na kiburi cha madaraka ya mwenyekiti kwa kofia ya uraisi. Taasisi imara haiwezi kutegemea nguvu ya madaraka ya mwenyekiti, anayoipata kutoka kwenye nguvu ya katiba. Ccm ingekuwa imara tusingeona ushenzi na uhayawani katika chaguzi zote Magu alizokuwa mwenyekiti. Na wala ndani ya miezi michache tu toka aelekee kuzimu msingekuwa mnalialia hapa.
 
Back
Top Bottom