Chongolo hukijengi chama bali unakibomoa kwa kurudisha makundi ndani ya CCM. Hisia zangu chama kineanda kukatika vipande viwili

Nakumbuka ilifikia mahala tuliona aibu kuvaa sare za hiki chama ,chama kilijaa wapigaji waliojimilikisha raslimali za chama chetu,
Chama kiliishi kwa kutembeza bakuri kwa watanzania wenzetu wenye ukwasi , wahindi ,waarabu ,ambao ni wafanyabiashara wakubwa ,ambao nao walitumia nafasi hiyo kukwepea kodi za serikali,

Alipoingia Magufuli,alikusanya Assets zote za CCM,alihakikisha kwamba chama ni kikubwa kuliko mwanachama yoyote,akahakikisha CCM inajitegemea kilaslimali fedha ,chama kikaondokana na utegemezi, account ya chama ikanona kwelikweli, umimi ndani ya CCM ukatoweka ,chama kikarudi kwa wanachama na kuwa taasisi imara zaidi.

Cha kustajaabisha chama unakifumua kwa maslahi binafsi ukilenga chaguzi ijayo. Hili linajidhihirisha kwa kutengua makatibu wa CCM wengi kwa mkupuo na haraka sana ,ukizingatia hili halijawahi fanyika toka tupate uhuru.

Hapa umejikita kwa kuamini unamsaidia mwenyekiti,fahamu unamchimbia kaburi tu la kisiasa . mwenyekiti salama yake kama kiongozi ipo katika uwajibikaji uliotukuka kwa kutatua kero sugu za wananchi hasa rushwa kubwa na ndogo ndogo.

Aliyofanya hayati Magufuli kwa upande wa CCM yalikuwa yenye tija sana na sisi wanachama wa chini wa kawaida tulimuelewa .

Tulianza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama pasi kuhofia kutokuwa na pesa ,lakini kabla ya Magufuli ilitegemea nani yuko juu yako mwenye maamuz,i au fedha ulionayo.

Nionavyo ,kwa kasi kubwa unaturudisha huko tulipotoka ,kumbuka chama legelege huzaa serikali legelege

Nikuhakikishie sisi wafia chama hatutakubali kurudi utumwani misri,na huko tuelekeako ndio mwisho hii taasisi ambayo mnataka kuirudisha kwenye umimi .

Fukuto ni kubwa na hatukubaliani na kinachondelea ndani ya chama na serikali. Zipo hujuma za wazi kabisa dhidi ya miradi ya kimkakati lakini chama kipo kimya serikali ipo kimya .hii haikubaliki hata kidogo.

Nimekusikia ukiwa mkoani Kagera na wazee wa CCM unasema siasa sio uadui ,lakini unarudisha safu kuleta makundi na uadui ndani chama .mshauri wako anakudanganya.nijuacho waliomlalamikia Magufuli ni wale walionyanganywa mali za CCM,mengine ni uzushi tu.

Nikufahamishe ,kwa sasa tumeelimika,hatudanganyiki tena mkituzingua tutawazingua,

Mwisho, kama hutajali achieni taarifa ya ukaguzi wa mali za chama ,maarufu kama ripoti ya Bashiru, na ripoti yako wewe Chongolo dhidi ya Bashiru na sekretarieti yake kipindi cha Magufuli, tulinganie ni kipindi kipi chama kilifanya vizuri au vibaya ili twende sawa, lengo tufahamu ipi ni CCM makini ya kuanzia kwa Makamba, Kinana na sekretarieti zake, au ya Magufuli na Bashiru, tuna jambo tunahitaji kujifunza

Mwache Chongolo wawatu usimbebeshe mzigo wa lawama. Anaye uwa Chama ni nyie kwenye dawati hapo, ambapo kutwa kucha mnatetea ujinga au mnatetea mjinga mradi tu mkono unaenda kinywani.

Kosa kubwa manshindwa kutofautisha Chama na Mwanachama. Mnashindwq kutofuarisha Kiongozi wa Chama na Uongozi wa Chama, matokeo yake wananchi wanakosa imani na CCM.

Yaani ipo hivi, panya buku ambaye ni ccm akikosea na sotw tukajua na kuona amakosea, badala ya kushughulikiwa kwa kukichafua chama nyie mnamkumbatia, mnampigia debe. Ikitokea kiongozi amekosea na sote tumejua amakosea, wewe mmoja wapo, utatetea hata kwa uongo, mradi kuipulizia pafyumu maiti.

lakn ingekuwa mnajitenga na waliokosea, mnakemea waliokosea bila kujali wadhafa na bila kujali matumbo yenu, upinzani ungekosa sera.

Toa kibanzi kwako kwanza kabla hujaona boriti kwa Chongolo.
 
Umeeleza vizuri sana,katabia kakumsifia mtu kisa kakalia kiti huku anaharibu ndio chanzo cha makundi ya vyama vyote vya siasa.
Mfano ni wale wabunge 19
Wameweka makundi kwenye chama tawala na chadema.Japo kwasasa chadema wamekuwa wamoja kuhusu issue ya hao wabunge.
CCM nani aliwahi hoji walifikaje bungeni ikiwa chama husika hakikuidhinisha.

Chuki,uhasama,makundi nk havitaisha kama vyama vinakuwa milki ya baadhi ya wanachama.
 
Nakumbuka ilifikia mahala tuliona aibu kuvaa sare za hiki chama ,chama kilijaa wapigaji waliojimilikisha raslimali za chama chetu,
Chama kiliishi kwa kutembeza bakuri kwa watanzania wenzetu wenye ukwasi , wahindi ,waarabu ,ambao ni wafanyabiashara wakubwa ,ambao nao walitumia nafasi hiyo kukwepea kodi za serikali,

Alipoingia Magufuli,alikusanya Assets zote za CCM,alihakikisha kwamba chama ni kikubwa kuliko mwanachama yoyote,akahakikisha CCM inajitegemea kilaslimali fedha ,chama kikaondokana na utegemezi, account ya chama ikanona kwelikweli, umimi ndani ya CCM ukatoweka ,chama kikarudi kwa wanachama na kuwa taasisi imara zaidi.

Cha kustajaabisha chama unakifumua kwa maslahi binafsi ukilenga chaguzi ijayo. Hili linajidhihirisha kwa kutengua makatibu wa CCM wengi kwa mkupuo na haraka sana ,ukizingatia hili halijawahi fanyika toka tupate uhuru.

Hapa umejikita kwa kuamini unamsaidia mwenyekiti,fahamu unamchimbia kaburi tu la kisiasa . mwenyekiti salama yake kama kiongozi ipo katika uwajibikaji uliotukuka kwa kutatua kero sugu za wananchi hasa rushwa kubwa na ndogo ndogo.

Aliyofanya hayati Magufuli kwa upande wa CCM yalikuwa yenye tija sana na sisi wanachama wa chini wa kawaida tulimuelewa .

Tulianza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama pasi kuhofia kutokuwa na pesa ,lakini kabla ya Magufuli ilitegemea nani yuko juu yako mwenye maamuz,i au fedha ulionayo.

Nionavyo ,kwa kasi kubwa unaturudisha huko tulipotoka ,kumbuka chama legelege huzaa serikali legelege

Nikuhakikishie sisi wafia chama hatutakubali kurudi utumwani misri,na huko tuelekeako ndio mwisho hii taasisi ambayo mnataka kuirudisha kwenye umimi .

Fukuto ni kubwa na hatukubaliani na kinachondelea ndani ya chama na serikali. Zipo hujuma za wazi kabisa dhidi ya miradi ya kimkakati lakini chama kipo kimya serikali ipo kimya .hii haikubaliki hata kidogo.

Nimekusikia ukiwa mkoani Kagera na wazee wa CCM unasema siasa sio uadui ,lakini unarudisha safu kuleta makundi na uadui ndani chama .mshauri wako anakudanganya.nijuacho waliomlalamikia Magufuli ni wale walionyanganywa mali za CCM,mengine ni uzushi tu.

Nikufahamishe ,kwa sasa tumeelimika,hatudanganyiki tena mkituzingua tutawazingua,

Mwisho, kama hutajali achieni taarifa ya ukaguzi wa mali za chama ,maarufu kama ripoti ya Bashiru, na ripoti yako wewe Chongolo dhidi ya Bashiru na sekretarieti yake kipindi cha Magufuli, tulinganie ni kipindi kipi chama kilifanya vizuri au vibaya ili twende sawa, lengo tufahamu ipi ni CCM makini ya kuanzia kwa Makamba, Kinana na sekretarieti zake, au ya Magufuli na Bashiru, tuna jambo tunahitaji kujifunza
CCM kimegawanyika kulingana na wingi wa vipande vya Mikate, na umoja wenu unategemea nani anamiliki bakery.

Mkitaka umoja lazima wote muwe na hisa kwenye bakery.
 
Ni ukweli pasipo shaka Magufuli alikirudisha Chama kwenye mstari.
Je utakubaliana na mimi kuwa ndani yake kulikuwa na kikundi cha wasiojulikana?

Huku mitaani wanasema Hangaya amejiwekea mazingira magumu kuuzika kwa chama 2025.
Sababu kuu in
1.Issue ya Machinga.
2.Kamatakamata ya wapinzani.
3.Kurithi kesi zakusadikika.
4.Umeme kukatika ovyo.
5.Kuwateua waliodharau taasisi nyingine za vyama.
6.Mkuu wa bunge hapendeki ndani na nje ya bunge.

Anachohubiri Chongolo nikama anachochea makundi.Kipimo wanadai aamuru kila mbunge aitishe mikutano ya hadhara wananchi wawe guru kuuliza maswali.
Na vyote ilivyotaja ni creature ya Magufuli
 
Nakumbuka ilifikia mahala tuliona aibu kuvaa sare za hiki chama ,chama kilijaa wapigaji waliojimilikisha raslimali za chama chetu,
Chama kiliishi kwa kutembeza bakuri kwa watanzania wenzetu wenye ukwasi , wahindi ,waarabu ,ambao ni wafanyabiashara wakubwa ,ambao nao walitumia nafasi hiyo kukwepea kodi za serikali,

Alipoingia Magufuli,alikusanya Assets zote za CCM,alihakikisha kwamba chama ni kikubwa kuliko mwanachama yoyote,akahakikisha CCM inajitegemea kilaslimali fedha ,chama kikaondokana na utegemezi, account ya chama ikanona kwelikweli, umimi ndani ya CCM ukatoweka ,chama kikarudi kwa wanachama na kuwa taasisi imara zaidi.

Cha kustajaabisha chama unakifumua kwa maslahi binafsi ukilenga chaguzi ijayo. Hili linajidhihirisha kwa kutengua makatibu wa CCM wengi kwa mkupuo na haraka sana ,ukizingatia hili halijawahi fanyika toka tupate uhuru.

Hapa umejikita kwa kuamini unamsaidia mwenyekiti,fahamu unamchimbia kaburi tu la kisiasa . mwenyekiti salama yake kama kiongozi ipo katika uwajibikaji uliotukuka kwa kutatua kero sugu za wananchi hasa rushwa kubwa na ndogo ndogo.

Aliyofanya hayati Magufuli kwa upande wa CCM yalikuwa yenye tija sana na sisi wanachama wa chini wa kawaida tulimuelewa .

Tulianza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama pasi kuhofia kutokuwa na pesa ,lakini kabla ya Magufuli ilitegemea nani yuko juu yako mwenye maamuz,i au fedha ulionayo.

Nionavyo ,kwa kasi kubwa unaturudisha huko tulipotoka ,kumbuka chama legelege huzaa serikali legelege

Nikuhakikishie sisi wafia chama hatutakubali kurudi utumwani misri,na huko tuelekeako ndio mwisho hii taasisi ambayo mnataka kuirudisha kwenye umimi .

Fukuto ni kubwa na hatukubaliani na kinachondelea ndani ya chama na serikali. Zipo hujuma za wazi kabisa dhidi ya miradi ya kimkakati lakini chama kipo kimya serikali ipo kimya .hii haikubaliki hata kidogo.

Nimekusikia ukiwa mkoani Kagera na wazee wa CCM unasema siasa sio uadui ,lakini unarudisha safu kuleta makundi na uadui ndani chama .mshauri wako anakudanganya.nijuacho waliomlalamikia Magufuli ni wale walionyanganywa mali za CCM,mengine ni uzushi tu.

Nikufahamishe ,kwa sasa tumeelimika,hatudanganyiki tena mkituzingua tutawazingua,

Mwisho, kama hutajali achieni taarifa ya ukaguzi wa mali za chama ,maarufu kama ripoti ya Bashiru, na ripoti yako wewe Chongolo dhidi ya Bashiru na sekretarieti yake kipindi cha Magufuli, tulinganie ni kipindi kipi chama kilifanya vizuri au vibaya ili twende sawa, lengo tufahamu ipi ni CCM makini ya kuanzia kwa Makamba, Kinana na sekretarieti zake, au ya Magufuli na Bashiru, tuna jambo tunahitaji kujifunza
Naona wapambe mmeguswa
 
Kama kuna MTU atakumbukwa na wanaccm wazalendo na watanzania wengi ni Ndugu Magufuli.

Huyu bwana alikuja kuonyesha njia. Kwamba kila kitu kinawezekana Kama tukiwa wazalendo na wenye nia ya dhati kabisa kuamua mambo Ambayo yalionekana hayawezekaniki.

Nikweli kabisa kabla ya kuja Magufuli CCM ilikua imeshikiliwa na wajanja wachache. Na wao ndio walikua wanaamua nini kifanyike kwa kuangalia maslai yao.

Hivyo chama kilipoteza misingi. Alipokuja Magufuli aliweza kukibadilisha kabisa chama hiki kwa kukitoa mikononi mwa wajanja wajanja na kukirudisha kwa wanachama wenye chama chao.

Nikweli MUNGU ndiye mwenye kushikilia uhai wa binadamu akamchukua kiumbe wake.

Mbaya zaidi ni waliofuata kupuuza mazuri ya Magufuli na kuanzisha yakwao wakati tayari Magufuli alishaonyesha njia.

Hapa kuna hatari sana maana genge lililokua limedhibitiwa na Magufuli limeanza kupata nguvu tena nakuanza kuonekana hathari katika uchumi na maisha ya watanzania.

Hapa SERIKALI ya Awamu ya sita chini ya mama yetu Samia ichukue tahadhari maana mwisho itashindwa kulidhibiti kabisa kundi hili.

Maana kundi hili lina pura kweli kweli na ndio chanzo cha mifumuko holela ya bei za bidhaa na kuzidisha ugumu wa maisha kwa watanzania.
 
Mwache Chongolo wawatu usimbebeshe mzigo wa lawama. Anaye uwa Chama ni nyie kwenye dawati hapo, ambapo kutwa kucha mnatetea ujinga au mnatetea mjinga mradi tu mkono unaenda kinywani.

Kosa kubwa manshindwa kutofautisha Chama na Mwanachama. Mnashindwq kutofuarisha Kiongozi wa Chama na Uongozi wa Chama, matokeo yake wananchi wanakosa imani na CCM.

Yaani ipo hivi, panya buku ambaye ni ccm akikosea na sotw tukajua na kuona amakosea, badala ya kushughulikiwa kwa kukichafua chama nyie mnamkumbatia, mnampigia debe. Ikitokea kiongozi amekosea na sote tumejua amakosea, wewe mmoja wapo, utatetea hata kwa uongo, mradi kuipulizia pafyumu maiti.

lakn ingekuwa mnajitenga na waliokosea, mnakemea waliokosea bila kujali wadhafa na bila kujali matumbo yenu, upinzani ungekosa sera.

Toa kibanzi kwako kwanza kabla hujaona boriti kwa Chongolo.
Ficha upumbavu wako thread iko wazi kabisa ikiwa na mifano rahisi ,wewe unaleta ngonjera bila hata mfano mmoja wa kusapoti madai yako, pathetic!
 
Comrade Chongolo sio mpumbavu kama kina Bashiru waliokuwa wananunua watu badala ya kumwaga sera.

Chongolo atairudisha CCM kwenye mstari.

Nyie timu Magu kila mtu hamumtaki. Samia hamumtaki, Makamba hamumtaki, CHADEMA hamuwataki sasa hadi Chongolo hamumtaki.

Nyie mna mapepo njooni niwaombee.
Sometimes kama kichwa chako kimejaa kamasi ni bora kukaa kimya kunusuru nafsi yako na aibu,mada imekuzudi kimo,chuki imetawala nafsi yako
 
Umenena mkuu, nmekaa juzi na baadhi ya viongozi wa chama wanalaani sana mwenendo wa chama kwasasa, kisa kikuu ni mama kutengeneza mazingira ya 2025.
Mazingira ya 2025? Kwani CCM huwa wanategemea kura? Wao hutegemea TISS na Polisi ndo kura zao tegemeo.
 
Comrade Chongolo sio mpumbavu kama kina Bashiru waliokuwa wananunua watu badala ya kumwaga sera.

Chongolo atairudisha CCM kwenye mstari.

Nyie timu Magu kila mtu hamumtaki. Samia hamumtaki, Makamba hamumtaki, CHADEMA hamuwataki sasa hadi Chongolo hamumtaki.

Nyie mna mapepo njooni niwaombee.
Watakupenda kama tu una roho mbaya kama Jiwe, au uwe na roho ya kuwafanya watu waishi kama mashetani hapo watakupa support
 
Kama kuna MTU atakumbukwa na wanaccm wazalendo na watanzania wengi ni Ndugu Magufuli.

Huyu bwana alikuja kuonyesha njia. Kwamba kila kitu kinawezekana Kama tukiwa wazalendo na wenye nia ya dhati kabisa kuamua mambo Ambayo yalionekana hayawezekaniki.

Nikweli kabisa kabla ya kuja Magufuli CCM ilikua imeshikiliwa na wajanja wachache. Na wao ndio walikua wanaamua nini kifanyike kwa kuangalia maslai yao.

Hivyo chama kilipoteza misingi. Alipokuja Magufuli aliweza kukibadilisha kabisa chama hiki kwa kukitoa mikononi mwa wajanja wajanja na kukirudisha kwa wanachama wenye chama chao.

Nikweli MUNGU ndiye mwenye kushikilia uhai wa binadamu akamchukua kiumbe wake.

Mbaya zaidi ni waliofuata kupuuza mazuri ya Magufuli na kuanzisha yakwao wakati tayari Magufuli alishaonyesha njia.

Hapa kuna hatari sana maana genge lililokua limedhibitiwa na Magufuli limeanza kupata nguvu tena nakuanza kuonekana hathari katika uchumi na maisha ya watanzania.

Hapa SERIKALI ya Awamu ya sita chini ya mama yetu Samia ichukue tahadhari maana mwisho itashindwa kulidhibiti kabisa kundi hili.

Maana kundi hili lina pura kweli kweli na ndio chanzo cha mifumuko holela ya bei za bidhaa na kuzidisha ugumu wa maisha kwa watanzania.
Tukisema tunaitwa Sukuma gang,wacha kipasuke tu
 
Jiwe aliendesha kwa mkono wa chuma, kila mmoja alikuwa anamwogopa Jiwe. Kumbuka huyo bwana alikuwa muuaji na mtesi kama siyo nuksi kwa Taifa, tushukuru Mungu kwa kuingilia kati.
 
Nakumbuka ilifikia mahala tuliona aibu kuvaa sare za hiki chama ,chama kilijaa wapigaji waliojimilikisha raslimali za chama chetu,
Chama kiliishi kwa kutembeza bakuri kwa watanzania wenzetu wenye ukwasi , wahindi ,waarabu ,ambao ni wafanyabiashara wakubwa ,ambao nao walitumia nafasi hiyo kukwepea kodi za serikali,

Alipoingia Magufuli,alikusanya Assets zote za CCM,alihakikisha kwamba chama ni kikubwa kuliko mwanachama yoyote,akahakikisha CCM inajitegemea kilaslimali fedha ,chama kikaondokana na utegemezi, account ya chama ikanona kwelikweli, umimi ndani ya CCM ukatoweka ,chama kikarudi kwa wanachama na kuwa taasisi imara zaidi.

Cha kustajaabisha chama unakifumua kwa maslahi binafsi ukilenga chaguzi ijayo. Hili linajidhihirisha kwa kutengua makatibu wa CCM wengi kwa mkupuo na haraka sana ,ukizingatia hili halijawahi fanyika toka tupate uhuru.

Hapa umejikita kwa kuamini unamsaidia mwenyekiti,fahamu unamchimbia kaburi tu la kisiasa . mwenyekiti salama yake kama kiongozi ipo katika uwajibikaji uliotukuka kwa kutatua kero sugu za wananchi hasa rushwa kubwa na ndogo ndogo.

Aliyofanya hayati Magufuli kwa upande wa CCM yalikuwa yenye tija sana na sisi wanachama wa chini wa kawaida tulimuelewa .

Tulianza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama pasi kuhofia kutokuwa na pesa ,lakini kabla ya Magufuli ilitegemea nani yuko juu yako mwenye maamuz,i au fedha ulionayo.

Nionavyo ,kwa kasi kubwa unaturudisha huko tulipotoka ,kumbuka chama legelege huzaa serikali legelege

Nikuhakikishie sisi wafia chama hatutakubali kurudi utumwani misri,na huko tuelekeako ndio mwisho hii taasisi ambayo mnataka kuirudisha kwenye umimi .

Fukuto ni kubwa na hatukubaliani na kinachondelea ndani ya chama na serikali. Zipo hujuma za wazi kabisa dhidi ya miradi ya kimkakati lakini chama kipo kimya serikali ipo kimya .hii haikubaliki hata kidogo.

Nimekusikia ukiwa mkoani Kagera na wazee wa CCM unasema siasa sio uadui ,lakini unarudisha safu kuleta makundi na uadui ndani chama .mshauri wako anakudanganya.nijuacho waliomlalamikia Magufuli ni wale walionyanganywa mali za CCM,mengine ni uzushi tu.

Nikufahamishe ,kwa sasa tumeelimika,hatudanganyiki tena mkituzingua tutawazingua,

Mwisho, kama hutajali achieni taarifa ya ukaguzi wa mali za chama ,maarufu kama ripoti ya Bashiru, na ripoti yako wewe Chongolo dhidi ya Bashiru na sekretarieti yake kipindi cha Magufuli, tulinganie ni kipindi kipi chama kilifanya vizuri au vibaya ili twende sawa, lengo tufahamu ipi ni CCM makini ya kuanzia kwa Makamba, Kinana na sekretarieti zake, au ya Magufuli na Bashiru, tuna jambo tunahitaji kujifunza

Kwa taarifa yako hakuna kitu kinaitwa ccm, bali kuna dola iliyojificha ndani ya ccm ikifanya siasa. Siku hicho mnachoita ccm kikisambaratika dola iliyo ndani ya ccm, itajitokeza kufanya siasa wazi wazi bila hilo koti.

Magufuli aliamua kufuatilia mali za ccm , lakini ripoti iliyopelekwa mezani kwake alishindwa cha kufanya, maana aligundua ccm sio chama bali ni genge la walaji. Hiyo ndio iliyosababisha Magufuli kunajisi chaguzi zote za nchi hii, maana aligundua ccm haina hata wanachama wa kweli wa kuiwezesha kushinda uchaguzi. Ukweli huu unafahamika na vyombo vya dola ambavyo ndio mbeleko ya ccm, hivyo kama unataka kuondoka we ondoka tu na hao sukuma gang wenzako, lakini hakuna kitu kinaitwa ccm.
 
Unajua thetallest,anayeinjinia hii CCM ya sasa ni kiongozi mstaafu,haamini kama zama zake zimepita na alishindwa kukijenga kama taasisi imara
 
Back
Top Bottom