Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Delaying ni kitu cha kawaida kwenye project yoyote. Mara ngapi JK alikuwa anazindua projects na ku delay mda ulipangwa? Hebu usiwe mbishi kiasi hicho hivyo ni vitu vya kawaida. Ungesema project imekufa ningekuelewa ila sio issue ya kudelay

Duuu mkuu unamtaja JK Kama sehemu ya utetezi wako kuhusu ujenzi wa miradi!? Hapo nimechoka kabisa. Kwa hiyo ni lini huo miradi unaanza?
 
Duuu mkuu unamtaja JK Kama sehemu ya utetezi wako kuhusu ujenzi wa miradi!? Hapo nimechoka kabisa. Kwa hiyo ni lini huo miradi unaanza?
Baada ya Final Investment Decision FID kufanyika. Hiyo itakuwa mwezi wa 9. Na construction ikataka kuanza lazima mu7 na JPM waifungue pia
 
Alafu hawana wanalolijua sasa. Hata mambo madogo ya kutumua akili ndogo tu wanashindwa kujua
Bavicha hawapendi kitu kinachosimamiwa na Jiwe kifanikiwe! Ndio sababu unakuta wanachezesha masaburi kwa ubishi wa kijinga kabisa
 
Baada ya Final Investment Decision FID kufanyika. Hiyo itakuwa mwezi wa 9. Na construction ikataka kuanza lazima mu7 na JPM waifungue pia

Mkuu mwezi wa tisa sio mbali, kama uzinduzi wa Madaha ulifanyika August 2017 na mpaka leo bado, tutashindwa kusubiri mpaka hiyo septemba? Huu uzi upo tutaivuta tu.
 
Wewe jamaaa bwana una uelewa mdogo kweli, yaani kwakuwa humpendi jiwe basi unashupaza shingo iendelee kuamini unacho waza wewe.

Huna ujualo, we baki ukiuuza face tu hapa jukwaani na kupiga siasa mfu, na hamna mtu anashoboka na face siku hizi.
 
Issue sio museveni mkuu. Kiukweli kabisa mu7 alitaka kudeal na kenya. Walikuwa washasign mpaka MOU na kenyatta. Wenye project ambao ni TOTAL walikataa kupeleka bomba kenya sababa halitakuwa salama kwenye mikono ya alshababi, pia TOTAL hawakuwa tayari kununua ardhi ya kupitisha bomba kenya. TZ ardhi ni ya serikali kwa hiyo wasingepata shida. Mu7 hakutaka bomba kuja TZ kama hujui mi nakwambia
Mkuu uko informed!
 
Yeah. Total ndio wanatoa $3.5b. Mu7 na uhuru walikuwa washamalizana kwa kusign MOU. TOTAL wakajaja kukataa hiyo project iende kenya kwa sababu nilizotaja hapo juu ikiwemo alshababi. Kenya wakakomaa wakasema basi iende bandari ya Lamu kama si mombasa. Ikagundulika bandari ya Lamu bado kabisa kuanza kujengwa na by 2020 wakati mafuta yanatakiwa kusafirishwa, bandari ya lamu itakuwa haijaisha. Total wakaamua kuleta project TZ. wala sio serikali kama wanavyojigamba kama ndio wameleta hii project Tz.
Mkuu uko informed!
 
Bavicha hawapendi kitu kinachosimamiwa na Jiwe kifanikiwe! Ndio sababu unakuta wanachezesha masaburi kwa ubishi wa kijinga kabisa
Kwa sababu ni zero bomba s halijaanza kujengwa tayari typo kwenye arbitration
 
Total hawawezi kamwe kuendelea na hiyo project maana Tanzania imekataa kuongeza mkataba wa makubaliano ya kibiashara na uholanzi serikali Yao
 
Na wew uliamini linakuja ilikuwa ni kuuza sura na matangazo tbc
Aisee. Sasa zile mbwe zote zilikuwa za nini kama bomba lenyewe lilikuwa bomba hewa? Hii nchi wanasiasa wanatuchezea sana.

Ndiyo maana jiwe la msingi likaenda kuwekwa Tanga badala ya huko wanalozalisha mafuta. Sijui kwanini waliamua kutuumbua sisi wabongo.

Inawezekana waganda walishajua kinachoendelea, wakaamua kutupigisha kwata kutupoteza maboya.
 
Museven siyo mtu mzuri kabisa. Kamuingiza king Mtukufu hivi hivi akiona. Dah...
 
Back
Top Bottom