Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Utata upo kati ya uganda na muwekezaji katika swala la kusafirisha. Uganda wanataka wanataka kusafirsha refined na investor anataka crude. Ila yanakaribia kuisha. Tupo pazuri

So ni kipi kilifanya kukawa na mihemko ya kuzindua hilo bomba miaka miwili iliyopita wakati makubaliano bado? Museveni ni tapeli na kamkuta jiwe hajui kudeal na matapeli. Huyo Museveni alipewa mpaka bandari ya Tanga aipanue ili ashushe mizigo ya uganda baada ya kuomba lakini wapi. Huyo Museveni waliunda coalition of the willing akiwa na Kagame na Uhuru. Leo hiyo coalition imevunjika saa hii wanagombana na Kagame tu. Magufuli alikuwa anatamba hilo bomba anataka kabla ya 2020 liwe limekamilika ili apate sifa za kisiasa kwenye uchaguzi wa 2020, yako wako wapi? Hakuna cha negotiations wala nini ni utapeli mtupu.
 
I know exacly what is going on. Kuna process nyingi watu wanapitia b4 construction. Kuna Front end engineering design (FEED), alafu kuna final investment decision (FID) Then mobilization then construction. $3.5 project sio kama unajenga choo chenu hapo kijijini.
Kwa hiyo ww kwa sababu unaakili tayari unaona pipe limemalizika kujengwa. Tumia ujinga kufikiri.
 
So ni kipi kilifanya kukawa na mihemko ya kuzindua hilo bomba miaka miwili iliyopita wakati makubaliano bado? Museveni ni tapeli na kamkuta jiwe hajui kudeal na matapeli. Huyo Museveni alipewa mpaka bandari ya Tanga aipanue ili ashushe mizigo ya uganda baada ya kuomba lakini wapi. Huyo Museveni waliunda coalition of the willing akiwa na Kagame na Uhuru. Leo hiyo coalition imevunjika saa hii wanagombana na Kagame tu. Magufuli alikuwa anatamba hilo bomba anataka kabla ya 2020 liwe limekamilika ili apate sifa za kisiasa kwenye uchaguzi wa 2020, yako wako wapi? Hakuna cha negotiations wala nini ni utapeli mtupu.
Kabebeshwa taulo za kike eeti?
 
Issue sio museveni mkuu. Kiukweli kabisa mu7 alitaka kudeal na kenya. Walikuwa washasign mpaka MOU na kenyatta. Wenye project ambao ni TOTAL walikataa kupeleka bomba kenya sababa halitakuwa salama kwenye mikono ya alshababi, pia TOTAL hawakuwa tayari kununua ardhi ya kupitisha bomba kenya. TZ ardhi ni ya serikali kwa hiyo wasingepata shida. Mu7 hakutaka bomba kuja TZ kama hujui mi nakwambia
 
Waliosema itakamilika 2020 walikuwa wanajua wanajenga choo?

Kumalizika 2020 walikua over ambitious. Ila ukweli ujenzi wa bomba ni mchakato na uwekazaji mkubwa.
Kuna tathmini za fidia zimefanyika sehemu nyingi tu kwa Tanzania.
Hatua za awali za ujenzi wa bomba zitaanza kuonekana siku sio nyingi zikihusisha kambi za ujenzi na vitu vingine.

Uwekezaji wa dola $3b hauwezi kuwa wa muda mfupi kama waliosema wanasiasa wetu.
 
Hiyo inaitwa estmated work program. Sio asilimia 100 mtu akisema hiyo ndio inakuwa. Project inaweza ika delay kutokana na factors nyingi tu acha kuwa mjinga kiasi hicho

Acha porojo wewe Estimated time of completion ishatake into account factors zote hizo unazosema ww (feasibility study, Tendering, Mobilization na kuanza kwa execution) ndo mana wakaja na hiyo completion date. Tuna karibia kuingia kwenye completion time kabla hata mita 50 za bomba hazijafanyika, hiyo utaita delay? Wengine mnapenda kutetea ujinga Sana.
 
Mi siwez kushindana na mtu asiejua kitu. Kwa hiyo project zote zinaisha mda uliopangwa?
 
Hiyo inaitwa estmated work program. Sio asilimia 100 mtu akisema hiyo ndio inakuwa. Project inaweza ika delay kutokana na factors nyingi tu acha kuwa mjinga kiasi hicho
Kuna mjinga zaidi yako? Unajifanya mjuaji kuliko taarifa alizotoa Mh. rais. Wewe umekuwa nani? Au unataka kuonesha jinsi ulivyo certified kilaza?
 
Hahahah huna akili wewe. Kwani rais ni expat. Sasa ulitaka rais pia aseme kuna issue ya ku delay?. Tumia japo asilimi 2 ya akili yako. Acha kukariri mambo kama mtoto wa miaka miwili

Kuna mjinga zaidi yako? Unajifanya mjuaji kuliko taarifa alizotoa Mh. rais. Wewe umekuwa nani? Au unataka kuonesha jinsi ulivyo certified kilaza?
 
Mi siwez kushindana na mtu asiejua kitu. Kwa hiyo project zote zinaisha mda uliopangwa?

Mkuu Niko kwenye Construction Zaid ya ten years, nshafanya tender Zaid ya 300, nishasimamia project kubwa Zaid ya 100, nilichokuambia hapo juu nakiishi Kila siku. We unalete ramli za labda hiki labda kile wenzako tunajadili reality.
 
Zitakuwa project fake hizo kama hujui project inaweza ika delay. Unajua clause inaitwa force majeur kwenye mikataba ya project wewe?
 
Project delay ni kitu Cha kawaida Sana kwenye ujenzi, usichanganye delay ya project iliyoanza na hi ya bomba ( hii ya bomba labda waseme wamepostpone). Nimecheka Sana mfano wako wa force majeure...... Inanyesha bado ni mwanafunzi unasoma unatupia vya kwenye notsi, fanya Kwanza kazi utaelewa tunazungumzia nn hapa.
 
Hahahah huna akili wewe. Kwani rais ni expat. Sasa ulitaka rais pia aseme kuna issue ya ku delay?. Tumia japo asilimi 2 ya akili yako. Acha kukariri mambo kama mtoto wa miaka miwili
Ndiyo maana nikasema wewe ni certified kilaza. You're only proving my point.
 
Sasa ulitaka rais aseme kuna issue ya ku delay pia?

Uko sawa, sasa kulikuwa na haja gani ya kuwa na mihemko ya uzinduzi tena marais wote wawili huku serekali yetu yote ikihudhuria jambo lenye delay? Kwa hapa tulipo tukuamini ww mwenye fake ID huku jf au hao marais waliosema 2020 miradi utaisha? Hata kama Ni delay Ni ya miaka miwili?
 
Delaying ni kitu cha kawaida kwenye project yoyote. Mara ngapi JK alikuwa anazindua projects na ku delay mda ulipangwa? Hebu usiwe mbishi kiasi hicho hivyo ni vitu vya kawaida. Ungesema project imekufa ningekuelewa ila sio issue ya kudelay

Back
Top Bottom