Chondechonde: Msioe Wanawake waliojichubua na Wanaovaa Mawigi, Mtajuta..!

Hahaaaaa... Hii nmeiepnda. Eti kujipigapiga kichwani. Ni kwelli muda wote wanajipigapiga mara wajikune kwa kidole cha kati kichwani. Wengine hata kama wanakula unakuta muda wote anakusa nywele kwa kuzirudisha nyumba halafu anaendelea kutumia huo huo mkono kula.. Hadi kinyaa..

Ila nmependa post yako. Naomba aione dada emmyta.
Hahahaaa. Nimeiona kaka.
 
Nlishakwambia sitaki upost kwenye hii thread. Sababu nia yako ni kuniharibia thread. Hakuna mwanamke aliyetukana wala kuleta dharau tangu mwanzo. Lakini wewe ndo unajifanya unajua kutukana. Wewe una mdomo mchafu. Anzisha thread zako.
Mhh, sie mashilawadu tunawanyapianyapia! Muda sio mrefu Badaaaaaaamu Batamwagiiiiika!
Ila thread zangu sitaki uchangie hata mpja sababu ya matusi yako. Huwa sipendi wanawake wanaotukana bila sababu. Hujiheshimu, tafuta thread za wenzio ndo uchangie. Hii waache wachangie watu wanaojielewa sio wewe.
Kwani we nani mpaka unikataze ?? Kama ww ndo mods nipige ban nitachangia kama hutaki kelele usiniquote inaonekana ww ndo unapenda ligi na mm maana mm sijakuquote ila nashangaa unanitafuta tu niliemuuliza hajajibu ila ww tu ili uonekane na ww umo.. Nitachangia maana hii Jf sio yako so u don't quote me then we won't have a problem.. Tatizo lako unanitafuta
 
Halafu jambo la msingi ni kuwa ni rahisi kuishi ktk uasili kuliko ku fake! Mikorogo hiyo inauzwa bei ghali sana, mawigi bei kubwa, kwenda kuyashonea bei ghali, hiyo hela si bora ujiwekee akiba Au ufanye maendeleo? Matofali mangapi ungenunua kwa mwaka? Wanawake wengi wamekuwa wakitumia hela vibaya sana! Napenda wanawake wanaoishi kiasili Hata Kama anakuwa na exposure ya nchi Za ulaya, akienda kusoma Au kutembea mara kwa mara lakini ukimkuta yuko kiasili vile vile, havai mawigi, hajichubui, havai masuluari, havai Nguo fupi, na unakuta ni msomi, hela anayo bank ya kutosha, anafikiria na kumshauri mumewe waongeze Nyumba Za kujenga!
 
Perfumes Za mwilini, Za kuweka Kwenye Magari, Za kupuliza Ofisini zote ni kemikali hazifai kwa matumizi ya kibinadamu werevu hawatumii vitu hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom