Chendembe
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 416
- 462
Waswahili husema, Kumsukuma mlevi ni kumuongezea mwendo.
Sijapendezwa na hatua zilizochukuliwa hivi karibuni na baadhi ya tuliowapa dhamana ya kutulinda na kutuongoza. Hakika, sijapata mantiki ya kwanini yatokee.
Tulianza vizuri, watu tunaimani na wewe, umetupa faraja, umetuelezea safari yako,, iweje watu wanaotaka kujionesha wanaweza wakuvuruge. Hapana mama, usiwafumbie macho. Nchi ilitulia na watu wanafuraha saana, wasikualibie Hawa wenye kujikweza na kulinda maslahi zao.
Mbaya zaidi, wanaotekeleza haya yanayoendelea wamekosa uweledi wa kuyashughulikia. Mwenyezimungu amemlaani mnafiki, na siku zote mnafiki ujifichuliwa mwenyewe. Ona taarifa zao kwa umma! Vitimbwi tupu.
Kuongea, kucheka, kulia, ndio pekee dawa ya hasira na Sonoma. Tuwaache waongee wapone yaliyo moyoni mwao mama.
Shituka mama, busara na hekima zizingatiwe katika kuwapata viongozi watakaokuwakilisha.