Chonde dada zangu vaeni chupi jamana:::hatari hii

KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
184
Hii ni aibu ya mwaka dada zangu hii tabia ya kutovaa chupi ni mbaya sana..
Leo kuna dada kavaa suruali yake ya kitambaa kaingia ofisini ..ofisi yetu ni ya kizamani viti vingi na mabechi ni ya mbao ...akafika akakaa kwenye kiti bila kujua kumbe kuna msumali umechomoka kamaliza shida yake anainuka msumali umeshikilia suruali mbaya ukachana sehemu kubwa ya matakono mwa suruali ... Ukweli ilibidi niiname chini nimwite mhudumu wa kike amstiri kwa kanga ambayo alikuwa nayo kwa pochi..yani ****** yote njee mana ndani hana hata chupi yuko kama alivyo letwa duniani..

Wito dadazangu ninyi wa siku hizi vaeni chupi jamani eeh hizi aibu gani!!!!
 
Mpe pole..jifunze kunyamaza kwa mambo madogomadogo...what if unaemsema ni member hapa?
 
jomba acha ushamba .. Joto lote hili unawashauri wavae machupi ya nini? Siku hizi watu wanakupigia bikini kikamba tu kaka. Watch out utaumbuka mtu muzima. ...
yoyo muwekee jamaa picha ya bikini hapa
 
Last edited by a moderator:
rekebisheni mabenchi yenu ya zamani yanawachania wageni nguo,...nyambafu!! wewe unaona tatizo ni kutokuvaa chupi?WTF
 
Hii ni aibu ya mwaka dada zangu hii tabia ya kutovaa chupi ni mbaya sana..
Leo kuna dada kavaa suruali yake ya kitambaa kaingia ofisini ..ofisi yetu ni ya kizamani viti vingi na mabechi ni ya mbao ...akafika akakaa kwenye kiti bila kujua kumbe kuna msumali umechomoka kamaliza shida yake anainuka msumali umeshikilia suruali mbaya ukachana sehemu kubwa ya matakono mwa suruali ... Ukweli ilibidi niiname chini nimwite mhudumu wa kike amstiri kwa kanga ambayo alikuwa nayo kwa pochi..yani ****** yote njee mana ndani hana hata chupi yuko kama alivyo letwa duniani..

Wito dadazangu ninyi wa siku hizi vaeni chupi jamani eeh hizi aibu gani!!!!

hiyo ni ajali tu kama ajali nyingine.
 
nadhani ubadilishe thread, maana hata bikini ni chupi sasa we sema wavae aina ipi
 
hahahahahahaahahhaa heheheheheheheheehee kwikwikwikwikwikwiiiiiiiiiiii aaaahaaaaahaahhahahahahahahahaaaaa!!!!:laugh::laugh::laugh::laugh:
watu8 na BAGAH mmenichekesha sana na komenti zenu hehehehehehehehheeeeee!!!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom