Chonde Chonnde

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Mme2letea mgaao wa maji,tumeukubali.
Mgao wa umeme tumeuzoea,
na sasa mgao wa mafuta na tumeukubali,
lakini chonde chonde msije mkalete mgao wa bia hapo hakitaeleweka kabisa,
maana hizo ndo zinatusaidia kupunguza mawazo ya migao
 
Back
Top Bottom