Chonde Chonde wawekezaji msikimbie Tanzania Mtamuua Rais wetu kwa Presha

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
In mwijage voice, inasemekana kuna kampuni ya simu inataka kufunga mitambo yake. Migodi nayo ipo mbioni kufungwa. Dangote naye anataka kusepa.Azam naye yupo mguu nje mguu ndani. Sasa kama hawa wakiondoka ni mwekezaji gani mjinga anaweza kurisk kuja kufanya investment Tanzania!

Viongozi wetu hebu wekeni siasa pembeni. Wekeni mambo sawa. Hawa jamaa wakisepa si watanzania tutaishi kama mashetani.

Raisi wetu Magufuli anahitaji kodi zenu ajenge viwanda na kaishaweka order ya bombadier 3 sasa. Kila kukicha nyie mnamtishia kuondoka sasa.

Watanzania tiyari tumeishaisoma number sasa nyie wawekezaji mnataka mkamsomeshe number hata Raisi wetu kweli!!!!! Kwa hili tutaomba mtusamehe na yeye pia ni binadamu anakosea.

Kosa sio kosa bali kosa nikurudia kosa.
 
IMG_20161128_172351.jpg
 
Wawekezaji wanaangalia maslahi yao kwanza.Kama wakiona mazingira ya biashara sio rafiki kwao lazima waondoke na kuwekeza sehemu nyingine.
 
In mwijage voice, inasemekana kuna kampuni ya simu inataka kufunga mitambo yake. Migodi nayo ipo mbioni kufungwa. Dangote naye anataka kusepa.Azam naye yupo mguu nje mguu ndani. Sasa kama hawa wakiondoka ni mwekezaji gani mjinga anaweza kurisk kuja kufanya investment Tanzania!

Viongozi wetu hebu wekeni siasa pembeni. Wekeni mambo sawa. Hawa jamaa wakisepa si watanzania tutaishi kama mashetani.

Raisi wetu Magufuli anahitaji kodi zenu ajenge viwanda na kaishaweka order ya bombadier 3 sasa. Kila kukicha nyie mnamtishia kuondoka sasa.

Watanzania tiyari tumeishaisoma number sasa nyie wawekezaji mnataka mkamsomeshe number hata Raisi wetu kweli!!!!! Kwa hili tutaomba mtusamehe na yeye pia ni binadamu anakosea.

Kosa sio kosa bali kosa nikurudia kosa.

story za vijiwe Bavicha hahaha
 
hahahaha kama hukuelewa kiswahili mbona alisisitiza kwa kifrench jaman au wewe ni kiziwi?
 
Muhongo na Mwijage wanajiona wao ndio wao..........Sasa imewafikia.

Mpango naye, kodi, lukuki, Harassing wawekezaji kupitia TRA !
 
Hakika TANZANIA YA MAGUFULI YENYE VIWANDA ni sawa na ndoto za Alinacha! Huwezi kujenga Viwanda kwa maneno matupu.
Yaani badala ya Viwanda kuongezeka mpaka kufikia 2020 hakutakuwa na kiwanda chochote!
 
Dangote ameshaisoma namba, huenda labda soon akaanza kufilisika.
Dangote kamwe hawezi filisika, kumbu kawekeza kwenye nchi zaidi ya 10, na kiwanda cha Tanzania ndio kwaanza kinaanza na hata ujenzi bado haujakamilika. Hata hivyo DANGOTE ndio mwenye viwanda viwili vya cement vikubwa kuliko vyote duniani.
 
Back
Top Bottom