Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Sheria hii ingekuja hapa kwa wakware wetu hawa!lol
Tatizo sio kuzini, ila kubainika/kukamatwa umezini. Dhambi zote huwa siyo issue zikifanywa kwa siri, bali zinapobainika waziwazi hata wakongwe wa kuzitenda watakushangaa. Husikii hata makanisani unaweza kumkuta shemasi/kasisi/mzee wa kanisa/mwanakwaya au muumini akiponda uasherati, uzinzi, ulevi na matendo mengine maovu wakati usiku ukiingia ndio wa kwanza kumkuta akiwa baa, siyo tu akilewa bali hata kuvuta mabaamedi? Wengine hunaswa wakiroga! Huu ni unafiki, hivyo wote tu wachafu ila yule anayebainika waziwazi ndio huwa anahukumiwa.Hao wote wanaomuadhibu "mzinzi", kwani wao hawajawahi kuzini? Tena wengi wao ni vijana ambao usikute hawajaoa, wao wanafanya mapenzi na nani pumbaf zao kama sio uzinzi tu?
Tatizo sio kuzini, ila kubainika/kukamatwa umezini. Dhambi zote huwa siyo issue zikifanywa kwa siri, bali zinapobainika waziwazi hata wakongwe wa kuzitenda watakushangaa. Husikii hata makanisani unaweza kumkuta shemasi/kasisi/mzee wa kanisa/mwanakwaya au muumini akiponda uasherati, uzinzi, ulevi na matendo mengine maovu wakati usiku ukiingia ndio wa kwanza kumkuta akiwa baa, siyo tu akilewa bali hata kuvuta mabaamedi? Wengine hunaswa wakiroga! Huu ni unafiki, hivyo wote tu wachafu ila yule anayebainika waziwazi ndio huwa anahukumiwa.
viongozi wetu wote wangekuwa washapigwa mawe,tungebak bila kiongoz na serikali ingekuwa inatenga bajet ya kuzika viongoz
Komba
nchemba
nyalandu
kikwete
lowasa
na viongozi wote wa ccm tunaomba mchangie maoni kwenye katiba mpya,vipi hii sharia tuipitishe tanganyika?
Ha! Nasikia na mkubwa wa futi (au inch?) nae hako katabia anako..............Mwingilu nchemba ungekuwa somali ungekuta tushakusaahau na ka degeree kako uchwara