chonde chonde wana JF nawaomba msizini mkiwa somalia

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
417037_221899881275949_477853573_n.jpg

hizi ndio adhabu zake ukizini
 
Mwingilu nchemba ungekuwa somali ungekuta tushakusaahau na ka degeree kako uchwara
 
Hao wote waliompiga mawe hakuna msafi hata mmoja (wote matope), wananajisi dini kwa kujifanya wanafuata mambo ya Mungu kumbe ZERO, ni bora jamaa wa watu alikuwa anajilia uroda wake kwa maelewano na mwenzie, RIP mtu wa watu.
 
Hao wote wanaomuadhibu "mzinzi", kwani wao hawajawahi kuzini? Tena wengi wao ni vijana ambao usikute hawajaoa, wao wanafanya mapenzi na nani pumbaf zao kama sio uzinzi tu?
 
Tatizo sio kuzini, ila kubainika/kukamatwa umezini. Dhambi zote huwa siyo issue zikifanywa kwa siri, bali zinapobainika waziwazi hata wakongwe wa kuzitenda watakushangaa. Husikii hata makanisani unaweza kumkuta shemasi/kasisi/mzee wa kanisa/mwanakwaya au muumini akiponda uasherati, uzinzi, ulevi na matendo mengine maovu wakati usiku ukiingia ndio wa kwanza kumkuta akiwa baa, siyo tu akilewa bali hata kuvuta mabaamedi? Wengine hunaswa wakiroga! Huu ni unafiki, hivyo wote tu wachafu ila yule anayebainika waziwazi ndio huwa anahukumiwa.
 
tz kwenye nyumba za wageni wangeshikwa wengi
 
Komba
nchemba
nyalandu
kikwete
lowasa
na viongozi wote wa ccm tunaomba mchangie maoni kwenye katiba mpya,vipi hii sharia tuipitishe tanganyika?
 
hiyo sheria maaskofu,mashehee,mapadri na viongoz wetu,jumlisha rais,wabunge etc wataipinga kwa nguvu zao zote
 
Back
Top Bottom