Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,793
- 12,238
- Thread starter
- #101
Kinachogomba hapa siyo misaada tu bali hata watalii watapungua kutoka Nordic countries na hivyo kupunguza mapato ya nchi ambayo tunayahitaji sana kwa maendeleo yetu!Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea misaada au wewe unadhani china imefika pale kwa kulialia na kutegemea misaada.
Hapana bali kwa kutumia akili kujitegemea na kufanya kazi.
Na hapohapo wanakupa misaada then wao wanachukua mara tatu ya walichokupa. Africans bado hawana akili ya kusoma lakini hata kuona picha bado hawawezi.
Ni vizuri Stop misaada then upigike ili upate akili ya kujitegemea.