Chonde Chonde wafuatao ni Finland, Norway na Sweden

Si mlikuwa mnamsakama na kumpa majina mabaya JPM, kisha baada ya kuondoka mkaanza kufanya tafirija?

Kuna GIZA na UTELEZI usiomithirika utajidhihirisha siku sio nyingi ndipo mtafahamu ukweli na kutafuta namna ya kuomba msamaha kwa kusingizia wengine wenye wenye nia njema kwa nchi.
Wewe zuzu haya ndio matokeo ya ule Udikteta wa Kayafa
 
Ni aibu sana nchi tulizokuwa nazo sawa kiuchumi kusaidia nchi kubwa kama Tanzania eti vi nchi kama mkoa ndo vinasaidia Tanzania sasa UHURU ulikuwa na maana gani.

Wenzetu walishatoka kwenye kuwaza basic needs.
Kwahyo hutaki tena misaada?
Uko serious kweli wewe na nchi hii, maana hata budget inahitaji wahisani, wahisani kupungua kutoa hela ndio unaona mikodi imeongezeka kila mahali hadi tozo luku mafuta, na mnalia lia humu na kumwona Rais hafai.
Sasa ngoja wahisani waondoke wote muanze kutembea makalio wazi ka enzi za nyerere
 
Yaani kuwapiga mkwara Maafsaa wa Balozi zao wasiende kusikiliza Kesi ya Kubambika ya Mbowe

Majibu yanaanza kupatikana... Kata mwanangu kata kata misaada usiogope kata.. kibwagizo kizuri
Dah hii si yakufurahia wanyonge watalimia meno haswa na huduma kudorora na serikali itaongeza Kodi hadi za oksigen kufidia hilo gap
 
Wamesema sisi sio maskini tena wewe unataka usadiwe hata Kama unajiweza

Wanahamia kwenye nchi maskini Sana na zenye migogoro hapa bongo kila kitu kipo POA

USSRView attachment 1912618
Nchi ikishaondoa Uwakilishi wake kwenye nchi nyingine wewe unapata picha gani?? Usiwaze misaada tu. Nikupe mf rahisi, Tanz wakiamua kususia bidhaa za China, unafikiri Wachina hawataathirika??
 
Wanataka turuhusu ndoa za jinsia moja na ushoga na usagaji Kama kwao ndio waseme tunaheshimu Haki za binadamu.Tumegoma Kama Nchi ndio wanabweka
Hata hapa Tanzania hakuna sheria inayozuia ushoga, na ndiyo sababu akina Amber Ruti wapo!
 
Wenzetu wamejiongeza kupunguza gharama, haswa kipindi hiki ambacho teknolojia inasaidia kurahisisha kazi kwa kiasi kikubwa

Tukumbuke Uchumi wa dunia kwa ujumla umeporomoka sana na kupunguza gharama za uendeshaji sio kwa Tanzania au Africa pekee.
Comrade hali mbaya ya demokrasia ya serikali katili ya CCM imewakimbiza na bado balozi nyingi zitafungwa TZ.

Balozi zitakazobaki TZ ni Congo, Somalia na Afghanistan maana ndiyo wanafanana hulka na Serikali kandamizi ya CCM.
 
Kuwa na Ubalozi kwenye nchi haimaanishi lengo ni kuipa nchi msaada Mkuu. Elewa kuwa hawa wanabalozi zao Marekani, UK, China, France, German nk. Hawapo kule kwa lengo la kutoa misaada.
Acha kujitoa akili! Wanapeana misaada ya kiuchumi, kisiasa, kijeshi nk.
 
Toka 1961 tunapewa tu MISAADA na Denmark....

Tukiambiwa tujifunge mikanda na tuzibebe TOZO tunalalamika......😲😲

Ifikie mahali tujisukume wenyewe tu......

#SiempreJMT
 
Ni aibu sana nchi tulizokuwa nazo sawa kiuchumi kusaidia nchi kubwa kama Tanzania eti vi nchi kama mkoa ndo vinasaidia Tanzania sasa UHURU ulikuwa na maana gani.

Wenzetu walishatoka kwenye kuwaza basic needs.
Sisi tulishatoka kwenye kuwaza basic needs ?
 
Huyo JPM ndiye mshenzi aliyeanzisha siasa za kejeli na matusi! Aendelee kulaaniwa huko jehanam aliko!
Demokrasia inabakwa kweuupe huku wabakaji wakishangilia. Ni kweli huu ni uovu WA JPM lakini mama huwezi achwa kwenye ushenzi ule kwani alikuwa number 2.
 
Acha kujitoa akili! Wanapeana misaada ya kiuchumi, kisiasa, kijeshi nk.
Sasa si unaona ulivyoiweka hapo kuna nafasi nzuri zaidi ya ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi na nchi. Sasa Ubalozi unapofungwa? Sasa endelea na weka akili gear ya kuupanda mlima. Kushuka unaweza kuweka neutral tu!
 
“Nasema nireteeni gwajimaaaa”
Ila najua serikali na bunge ni kitu kimoja kwa sasa najua watawarudisha haraka sana
 
Back
Top Bottom