Chonde chonde usiende kuaga mara mbili ni mikosi kwako milele

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
457
1,973
Mnaotaka kwenda kuaga kesho tafadhali jiridhishe kwanza kuwa haujaaga, kuaga msiba mara mbili ni mikosi kwenye safari yako ya kimaisha na unakuwa hujamuaga marehemu bali unakuwa umeenda kumkebeshi (kumtania)

Hata kwenye ku-like post Ya mtu kwenye FB ukilike Mara mbili unafutwa moja kwa moja na unakuwa huja-like na hiyo hutafasiriwa Kama kebehi, nenda kwenye FB like Mara Ya kwanza, halafu like Mara ya pili zote zinafutwa, huwezi kumuaga marehemu Kwa kupita mbele yake mara mbili mtaleta laaana Kwa taifa

Najua wapo watakaobisha na kunitukana Lakini nimeishawaelimisha shauri zenu nendeni tu Mara sijui hiii ni ya special sijui hiii Ya kwa ajiri ya cheo haya nendeni

Kuaga Mara mbili ni kuleta laana Kwako na Kwa taifa maaana hutafasiriwa Kama vile unaenda kumcheka marehemu na kumkebehi msifanywe hivyo wakuu Wangu jamani
 
Khaa. Wenzio tumeacha ofisi Leo. Haya usituletee mambo ya malaana wakati ukombozi umewasili mahali hapa.
Poa Mkuu Lakini pamoja na Yote uzalendo kwanza, Mimi ni muumini wa vyama vyote Mkuu, nimwanachama wa Ccm tangu nizaliwe ila pia napenda chadema Sana maaana inatupa amsha amsha tunachangamka Mkuu hongereen na kumpokea kiongozi wenu
 
Poa Mkuu Lakini pamoja na Yote uzalendo kwanza, Mimi ni muumini wa vyama vyote Mkuu, nimwanachama wa Ccm tangu nizaliwe ila pia napenda chadema Sana maaana inatupa amsha amsha tunachangamka Mkuu hongereen na kumpokea kiongozi wenu
Hapana Lissu siyo kiongozi wangu, bali ni mwanadamu mwenzangu. Kilinichonivutia yeye alionja na kupita katka bonde la uvuli wa mauti, lakini kwa muujiza wa Mungu akalivuka bonde la mauti swalama. Ajabu iliyoje.
 
Hapana lissu siyo kiongozi wangu, bali ni mwanadamu mwenzangu. Kilinichonivutia yeye alionja na kupita katka bonde la uvuli wa mauti, lakini kwa muujjiza wa Mungu akalivuka bonde la mauti swalama. Ajabu iliyoje.
Haya Mkuu nimekuelewa Ndugu, hata Mimi niliumia Sana nilivyoona alivyoshambuliwa, Kama binadam niliumia na mshukuru MUNGU kaponya
 
Hapana lissu siyo kiongozi wangu, bali ni mwanadamu mwenzangu. Kilinichonivutia yeye alionja na kupita katka bonde la uvuli wa mauti, lakini kwa muujjiza wa Mungu akalivuka bonde la mauti swalama. Ajabu iliyoje.
Ni mwanasiasa Mzuri anaejua kujenga hoja na kuzitetea hoja zake namtakia mapambano na MUNGU amlinde ila tu asimtukane Mkuu wa nchi, Mkuu wa nchi anapaswa kupewa heshima yake, umkosoe Kwa hoja sio matusi
 
Wanachuo mna stress sana tangu Magufuli awapige panga kwenye mkopo.
Sasa magufuli unamuingizaje humu? Hivi Kwa nini baadhi ya watu mnashindwa kuficha udhaifu wenu? Yani hata Kama unaishi na kura Kwa sababu ya huyo uliemtaja unapaswa kujizuia usimkariri kichwani, maaana ipo Siku utajikuta unaenda buchani kununua Nyama badala ya kusema kuwa niwekee kidali ukasema niwekee magufuli, na unaweza ukakuta hata hapo ulipo huna kad ya Ccm,

Mimi Nina kad tangu nifikishe umri wa miaka 18 na nilishawahi ombwa CV Yangu na moja Wa marais wa Tanzania ikapelekwa ikulu japo hutaamini Lakini siwez kuwa mbumunda Kama wewe, ninachotaka kusema nikuwa unaweza ukakuta hata kad ya Ccm huna Lakini unajipendekeza Kama wale Wa Takukuru
 
Sasa magufuli unamuingizaje humu? Hivi Kwa nini baadhi ya watu mnashindwa kuficha udhaifu wenu? Yani hata Kama unaishi na kura Kwa sababu ya huyo uliemtaja unapaswa kujizuia usimkariri kichwani, maaana ipo Siku utajikuta unaenda buchani kununua Nyama badala ya kusema kuwa niwekee kidali ukasema niwekee magufuli..
Dkt Magufuli ni rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na viunga vyake, usione wivu ukiona anatajwa tajwa.
 
Swali je familia wanaaga Dar then wataenda kuaga kijijini ili kuzika je hiyo imekaaje maana tiyar ni zaidi ya mara mbili 🤷‍♂️
 
Back
Top Bottom