Chonde chonde TCRA na Polisi huu ni wakati wa kufanya kazi kwa weledi na kuacha kutumika kisiasa!

munirah

JF-Expert Member
Mar 13, 2015
551
218
Kawaida siongeagi saaaaana!

TCRA Mamlaka ya mawasiliano Tanzania ilituletea sheria ya makosa ya mtandao na kuyatanabaisha kwa wananchi mapema wiki hii! Haihitaji elimu ya chuo kikuu kuona ni jinsi gani sheria hii ilivyo kandamizi (Shut Up Law) hasa kwa wapinzani! Hili linajidhihirisha siku hadi siku ambapo iwapo upo upande wa watawala basi kunakuwepo na kujiamini kuvunja sheria hii!

Nayasema haya hasa mara baada ya Mwanaccm Wema Sepetu kupost picha ya kichochezi na upotoshaji katika mtandao wa instagram (Ikimwonyesha mgombea ubunge wa UKAWA mwenye asili ya kiasia na nyingine ikimwonyesha muhindi aliyekatwa na mabegi ya pesa za nafaka Dodoma.

Wema analinganisha kwamba huyu ni mtu mmoja lakiki kiuhalisia huu ni upotoshaji na alipashwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu mapema! Lakini sitegemei hilo kufanywa na wanaTCRA kwakuwa tayari nimeanza kujenge chuki na mamlaka haya kuwa yanatumika kuhadaa watu!

POLISI TAFADHALINI

Wakati vijana wa CHADEMA walipokuwa kwenye kundi la watu 19 mliwakamata na kuwaweka ndani akiwemo waziri mstaafu Lau Masha!

Kwa sasa kumeibuka propaganda za kupandikiza chuki baina ya wanachadema na UKAWA hasa baada ya mpango wa CCM kuwagawa wanaUKAWA kupitia KUNUNULIWA kwa Dr. Cassava! Polisi inatajwa kuwasindikiza vijana wa chadema Feki kuandamana mijini kwa makundi lakini hawawachukulii hatua!

Sasa watanzania wameshajua mbinu hizi chafu na siasa za kipumbavu za ccm.

Mungu anataka kutuvusha bahari hii ya UMASKINI kupitia ENL na hakika kama ni chaguo la Mungu kamwe propaganda hazitakuwa na nguvu!

#LofaMwenyeKichinjio
 
Polisi hawaelewi kazi yao,wameacha kufanya kazi kwa weledi na wao kuwa kama walinzi wa ccm!
 
Kawaida siongeagi saaaaana!

TCRA Mamlaka ya mawasiliano Tanzania ilituletea sheria ya makosa ya mtandao na kuyatanabaisha kwa wananchi mapema wiki hii! Haihitaji elimu ya chuo kikuu kuona ni jinsi gani sheria hii ilivyo kandamizi (Shut Up Law) hasa kwa wapinzani! Hili linajidhihirisha siku hadi siku ambapo iwapo upo upande wa watawala basi kunakuwepo na kujiamini kuvunja sheria hii!

Nayasema haya hasa mara baada ya Mwanaccm Wema Sepetu kupost picha ya kichochezi na upotoshaji katika mtandao wa instagram (Ikimwonyesha mgombea ubunge wa UKAWA mwenye asili ya kiasia na nyingine ikimwonyesha muhindi aliyekatwa na mabegi ya pesa za nafaka Dodoma.

Wema analinganisha kwamba huyu ni mtu mmoja lakiki kiuhalisia huu ni upotoshaji na alipashwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu mapema! Lakini sitegemei hilo kufanywa na wanaTCRA kwakuwa tayari nimeanza kujenge chuki na mamlaka haya kuwa yanatumika kuhadaa watu!

POLISI TAFADHALINI

Wakati vijana wa CHADEMA walipokuwa kwenye kundi la watu 19 mliwakamata na kuwaweka ndani akiwemo waziri mstaafu Yona!

Kwa sasa kumeibuka propaganda za kupandikiza chuki baina ya wanachadema na UKAWA hasa baada ya mpango wa CCM kuwagawa wanaUKAWA kupitia KUNUNULIWA kwa Dr. Cassava! Polisi inatajwa kuwasindikiza vijana wa chadema Feki kuandamana mijini kwa makundi lakini hawawachukulii hatua!

Sasa watanzania wameshajua mbinu hizi chafu na siasa za kipumbavu za ccm.

Mungu anataka kutuvusha bahari hii ya UMASKINI kupitia ENL na hakika kama ni chaguo la Mungu kamwe propaganda hazitakuwa na nguvu!

#LofaMwenyeKichinjio

Huyeee Critical thinking nimekupa gwaraaa tunakaba mpaka penati kudadadadadadekkk
 
waziri lawrence Masha na sio Yona
 
ccm imeshakuwa chama cha upinzani, ukawa ndio wanaoshambuliwa na wapinzani
 
Wangelijua kua mwakahuhuu watatawaliwa nacdm kupitia ukawa Wao wasubili kula matunda saaaafi
 
Wema ni empty set anakurupukia siasa baada ya soko LA kuuza kumdodea. Yeye ni Ku post tu bila kujua ila alikuja kufuta fasta hyo post.
 
Taasisi zichukue hatua kabla wananchi hawajahisi kwamba hakuna utawala wa sheria wakaanza mob justice
 
Back
Top Bottom