CHONDE CHONDE;SUA,MZUMBE NK LINDENI HESHIMA YA Phd.......OKOENI JAHAZI!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHONDE CHONDE;SUA,MZUMBE NK LINDENI HESHIMA YA Phd.......OKOENI JAHAZI!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by only83, Oct 20, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,144
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  ..Katika hali ya kuonekana kana kwamba ni kutumia vyuo vya elimu ya juu kupata umaarufu Jakaya Kikwete ameendelea kujinyakulia Phd kama nyanya sokoni...Kwa wasomi na watu makini wanaweza tambua tatizo linaloendelea nchini mwetu.JK baada ya kushindwa shule(Kukimbia umande) sasa anatumia vyuo vya elimu ya juu hasa vya UMMA kujipatia umaarafu wa bei chee..Tunapaswa kujiuliza hivi hizi Phd zote kwa lipi hasa alilotenda kwa watanzania? Tuache porojo zisizo na msingi bali tufanya tafiti makini....

  Muono wangu:
  Vyuo vyote vya UMMA vyenye sifa ya kutoa Phd vimemtunuku JK hizo Phd za bei chee isipokuwa SUA na MU ndio hawajampa huyu jamaa hizo sifa za kijinga..Ombi langu CHONDE CHONDE,MU na SUA okoeni jahazi la elimu linazama...........
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 280
  Sasa akipewa phd ya mzumbe kuna hasara gan?asipewe ya sua 2,maana shule ya pale co porojo.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Usihofu atakuja nyanganywa ata izo alizonazo na kuzidenounce hadharani
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,841
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  mkuu inaonesha dhahiri yeye ma VC wa vyuo ndio wanaojipendekeza na kumbuka hadi kua VC lazma uwe karibu na bwana mkubwa hivo usije shangaa sikia MU na SUA nao wamempa.
   
 5. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hivi wanatumia vigezo gani kumtunuku mtu shahada ya heshima? nataka nijue kama JK anakidhi hivyo vigezo au ni mambo ya kujikweza?
   
 6. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwani hao ma VC si mkuu ndo anawateua kwahiyo hatuoni ajabu wakiendelea kumrundikia hizo degree ila iposiku atazitema tu
   
 7. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,756
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  Jamani ardhi university nao wamempa?
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Vc wakiona kuna umuhimu wa kumpa phd wampe, kuna siku zitamtokea puani.
   
 9. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,634
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Ardhi tunampango wa kumpatia mwaka huu...subiri uone!!!
   
Loading...