Chonde Chonde Mwigullu na Wake za Wenzio Igunga!

MgungaMiba

JF-Expert Member
Aug 28, 2011
999
815
Bw Rajabu ni kada mzuri wa CCM hapa Igunga, anajihusisha na huduma za Kompyuta akishirikiana na Mke wake. Kipindi hiki cha kampeni, alijitolea kumruhusu Mkewe kipenzi awemo kwenye msafara wa kampeni za CCM zinazoongozwa na Ndg Mwigullu Nchemba, mkewe huyo alikuwa akijihusisha zaidi na huduma za kompyuta katika msafara huo. Kumbe Mwigullu kwa kukosa uadilifu kwake alikuwa akimmezea mate Mke huyo wa kada mwenzake, na bila kujali hisani ya Bw Rajabu, na kwa kutumia ukubwa wake, bila haya wala tone la aibu, akaanza kumpiga miti mke wa mwenzie! Vijana wa Igunga waliomo kwenye convoy hilo walikerwa sana na mchezo huo wa mkuu huyo wa kampeni, kwani pia alikuwa ni Mke wa mwenzao, hivyo walikwenda kumtonya Rajabu wakati Mwigullu akiwa katikati ya Mselebuko, ndipo Rajabu alipokwenda na kumfumania Mwigullu Live bila chenga, tena kavu bila Kinga! Rajabu kwa hasira na uchungu alianza kumpa kipondo cha nguvu Mkewe hadi kumjeruhi vibaya, wakati akifanya hivyo, Mwigullu alipata mwanya wa kukurupuka na kujinusuru akiwa na nguo zake mkononi. Mke huyo kutokana na majeraha aliyopata ilibidi akapate Form ya Polisi (PF3) ndio akatibiwe, na ile haitolewi bila maelezo. Hali imeshakuwa mbaya ndani ya kambi ya Kampeni ya CCM, imebidi wakuu wa chama walimalize kiaina ili kunusuru hali. Yamezimwa lakini Rajabu bado moyo unamuuma, ingekuwa busara zaidi kwa wakuu wa CCM wakamuondoa Mwigullu kwa kisingizio chochote ili kupunguza harufu mbaya aliyoileta. Kama hawamuondoi Mwigullu kwenye kampeni za Igunga, basi tutasaidiana na Rajabu tukamshitaki kwa Mungu, hata ikibidi kumsomea Albadiri ili alaaniwe na Mungu, na hakika laana aliyoileta Mwigullu kwa CCM itaonekana dhahiri tar 2/10/2011.
 
Hii habari umetunga,
mtu mwenyewe uko Dar unajifanya uko Igunga na kutaja majina feki
mtaishia kujaza thread za majungu wakati kura hampigi
 
Ma CCM wanaitwa madume wa mbegu na wana watoto kila kona na Nchi na vijumba kibao lakini hawawatunzi wengine leo nao wanataka kuchukua Nchi kama baba zao .CCM si wachafu kwa wizi wa mali zetu tu bali hata kindoa na kukosa maadili .Dawa yake sasa ni kuimaliza CCM Igunga kwa kumopa Chadema kiti wao waendelee na uzinzi .Rajabu kwa nini hakumpa huyu mjinga hata kisu cha **** kuondoa mzizi wa fitina ?
 
Masikini CCM na sera ya uzinzi hivi Mwigulu anajisikiaje kuendelea na kampeni maana ni doa kubwa linaweza kusababisha chuki kwa vijana wa Igunga na wanawake.
 
mkome.!!!!! sasa we na akili zako unampeleka mke wako kwenye misafara ya ccm, unategemea nini? wote hapo wamewaacha wake zao nyumbani unategemea nini kama ukimpeleka mkeo kwenye huo msafara?
 
mkuu hakuna aliyefanikiwa kumpiga video kidogo?kwa kweli anaonekana kama ni mtu wa tamaa kubwa
 
Nashauri wakereketwa wa CHADEMA mngeichapisha hii habari kwenye flyers na kuigawa huko igunga, maana haiwezekani juhudi kama hizi za kamanda zikaishia humu humu JF.
 
Hii habari umetunga,
mtu mwenyewe uko Dar unajifanya uko Igunga na kutaja majina feki
mtaishia kujaza thread za majungu wakati kura hampigi
Nasikia Mwigulu alitoka mbio mtupu kama alivyozaliwa na ki***pi mkononi huyo ndiye Kiongozi wa kampeni za wanawake wa CCM Igunga. Napiga picha ualivyokuwa masikini CCM kwishnei.
 
Nashauri wakereketwa wa CHADEMA mngeichapisha hii habari kwenye flyers na kuigawa huko igunga, maana haiwezekani juhudi kama hizi za kamanda zikaishia humu humu JF.
Mbona magazeti tayari yako kule mbali na baadhi CCM kuyanunua na kuyachoma moto lakini jamii inayo na kesho tani nzima ya magazeti inaelekea kule sema kingine, ingekuwa enzi za gazeti moja la Uhuru sawa.
 
kwani alim baka?
si wote wau wazima wanajua wanachokifanya?

hivi tukianza msako wa nani mwaminifu na nani sie,nani atabaki????
 
Mbona magazeti tayari yako kule mbali na baadhi CCM kuyanunua na kuyachoma moto lakini jamii inayo na kesho tani nzima ya magazeti inaelekea kule sema kingine, ingekuwa enzi za gazeti moja la Uhuru sawa.

Wewe magwanda gazeti nia flyer ni vitu viwili tofauti, chapisheni flyers mkagawe bure hayo magazeti wenzenu hawana hela ya kuchangia ukoo wa Mbowe na Mtei.
 
Wewe magwanda gazeti nia flyer ni vitu viwili tofauti, chapisheni flyers mkagawe bure hayo magazeti wenzenu hawana hela ya kuchangia ukoo wa Mbowe na Mtei.
Huna lolote mtetee mzinzi mwenzako si ndio zenu.
 
Wewe magwanda gazeti nia flyer ni vitu viwili tofauti, chapisheni flyers mkagawe bure hayo magazeti wenzenu hawana hela ya kuchangia ukoo wa Mbowe na Mtei.

Kweli akili yako kama signature yako .A great thinker hawezi kuja na signature hiyo , this is Mwiguku type yaani ma akili mengine sijui vipi .
 
A political leader should be the one with integrity and of high moral value. I miss those fundamental qualities in most of our leaders. If cornfirmed he has just operated within the "current standards"
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom