Chonde chonde Mh. Rais, usiwasahau wafuatao kwenye Timu ya mazungumzo

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
495
250
1: Mh. Kassim Majaliwa Kassim

2. Prof. Paramagamba Kabudi.

3: Prof. Abdikalim Mruma

4: Prof. Nehemiah Ossoro.

5: Prof. Issa Shivji

6: Prof. Benno Ndullu

7: Kamishna wa TRA

8: Prof. Ibrahim Lipumba

9: Dr. Rugemeleza Nshalla, huyu ni mkurugenzi wa LEAT

Ongezeeni wengine wadau ili Kuunda timu imara itakayopambana kwa hoja na kusimamia hoja kwa maslahi ya nchi.
 

kagombe

JF-Expert Member
Mar 1, 2015
3,287
2,000
1: Mh. Kassim Majaliwa Kassim

2. Prof. Paramagamba Kabudi.

3: Prof. Abdikalim Mruma

4: Prof. Nehemiah Ossoro.

5: Prof. Issa Shivji

6: Prof. Benno Ndullu

7: Kamishna wa TRA

8: Prof. Ibrahim Lipumba

9: Dr. Rugemeleza Nshalla, huyu ni mkurugenzi wa LEAT

Ongezeeni wengine wadau ili Kuunda timu imara itakayopambana kwa hoja na kusimamia hoja kwa maslahi ya nchi.
no 8 duhh kwa in prof.wa nini huyu jamaa
 

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
495
250
Jamani, tuweni serious hili swala ni muhimu sana, na juzi wakati ACACIA anafanya mawasiliano ya simu na wanahisa, aliwaeleza kuwa wangependa kujua mapema timu yetu, Mh. Raia Usikubali wawajue mapema, cha msingi wateue tu then uwatangaze last minute,

hawa wazungu wanaweza kuomba Account zao za Bank ikiwa utawatangaza mapema, cha msingi hapa tunashauri tu, ila wewe ndiye utaangalia nani awemo nani asiwemo, hawa wazungu ni wajanja sana, ukiwatangaza mapema imekula kwetu, maana hawashindwi kutafuta na kupata account zao za Bank na ku-deposit milioni 300 kila mjumbe
 

msem

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
1,804
2,000
1: Mh. Kassim Majaliwa Kassim

2. Prof. Paramagamba Kabudi.

3: Prof. Abdikalim Mruma

4: Prof. Nehemiah Ossoro.

5: Prof. Issa Shivji

6: Prof. Benno Ndullu

7: Kamishna wa TRA

8: Prof. Ibrahim Lipumba

9: Dr. Rugemeleza Nshalla, huyu ni mkurugenzi wa LEAT

Ongezeeni wengine wadau ili Kuunda timu imara itakayopambana kwa hoja na kusimamia hoja kwa maslahi ya nchi.
ZITTO ZUBERI KABWE.
 

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,444
2,000
Hivi huyo Profesa Ossoro alishindwaje kuweka taarifa ya ziada kwenye taarifa juu ya Dr Abdallah Kigoda? Kwani ilitakiwa aseme kwenye mabano 'ambaye kwa sasa ni marehemu'. Labda kama sisikii vizuri.

Harafu iweje Profesa mzima unasoma taarifa kwa hisia na kusema 'mikataba ya ajabu kweli'. Sasa sijui haya maneno yamo kwenye taarifa pia?

Tena iweje Profesa mzima unasoma taarifa na kutamka baadhi ya maneno kwa kukosea kama umetoka kuijifunza kusoma jana yake?
 

UKWELI NI HUU

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
262
500
1: Mh. Kassim Majaliwa Kassim

2. Prof. Paramagamba Kabudi.

3: Prof. Abdikalim Mruma

4: Prof. Nehemiah Ossoro.

5: Prof. Issa Shivji

6: Prof. Benno Ndullu

7: Kamishna wa TRA

8: Prof. Ibrahim Lipumba

9: Dr. Rugemeleza Nshalla, huyu ni mkurugenzi wa LEAT

Ongezeeni wengine wadau ili Kuunda timu imara itakayopambana kwa hoja na kusimamia hoja kwa maslahi ya nchi.


Kosa lile lile la siku zote....wote hao hakuna Mining professional anayeelewa uchimbaji madini hasa kama field yake anayeijua nje ndani, pia hakuna mfanyabishara anayeijua biashara ya uchimbaji madini nje ndani. Wanaenda kudiscus nini na wale wazee wenye experience ya miaka 30-50 kwenye gemu ya uchimbaji na biashara ya madini?????

Kama haiwezekani kabisa kutumia mining professionals(Mining practitioner) basi ni heri kukodi kampuni itakayoiwakilisha serikali.

msije mkasema hatukuwaambia kitu sahihi cha kufanya.

Kupeleka watu sampuli hiyo ni kosa la karne na ni aibu kuu katika ulimwengu wa uchimbaji madini, infact ni kichekesho.....
 

Kolomije wa Dar

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
284
1,000
CHENGE
KARAMAGI
NGELEJA
MSABAHA
JK
BENJAMINI
.............
Hii list yangu naona wengi wameichukulia kiràhisi.

Mimi nimemaanisha, sababu Hawa mabwana wanajua kiundani nini kilichopo, nini kilikosewa, nini kinaitajika, nini tunapaswa kufanya.

Hawa mabwana nikimuongeza na MUHONGO ndio wanaweza kutusaidia kama wakiamua na wanaweza kutuzamisha zaidi kama wakikusudia.

Kwanini tusiwaombe na tukawapa nafasi nyingine?
 

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,777
2,000
1: Mh. Kassim Majaliwa Kassim

2. Prof. Paramagamba Kabudi.

3: Prof. Abdikalim Mruma

4: Prof. Nehemiah Ossoro.

5: Prof. Issa Shivji

6: Prof. Benno Ndullu

7: Kamishna wa TRA

8: Prof. Ibrahim Lipumba

9: Dr. Rugemeleza Nshalla, huyu ni mkurugenzi wa LEAT

Ongezeeni wengine wadau ili Kuunda timu imara itakayopambana kwa hoja na kusimamia hoja kwa maslahi ya nchi.
Rais hapangiwi,muacheni kwani kabla uliwahi kumjua Professor Mruma wewe?
 

BAVARIAN

JF-Expert Member
Mar 15, 2017
223
250
Ateue watu ambao ni wanasheria nguli na wataalamu wa masuala ya madini , wazee wabusara, ambao ni wasomi na viongozi wa dini angalau waliosomasoma kdgo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom