Hotuba yake jana ilikuwa na mapungufu mengi sana haswa suala la udini ambalo wameliongea sana kipindi cha kampeni.Kimsingi sioni Udini unatokea wapi maana yeye mwenyewe juzi ameteua wabunge watatu wote waislamu,sijui tulitafsiri vipi?.Suala hili wamelifanya ajenda ili kumpunguza makali Dr.Slaa na wanachama na mashabiki wa CHADEMA lakini wanapotosha umma na matokeo yake ni mwanzo wa kuchochea udini ambao kimsingi haupo.
Kauli ya kwamba Rais ni mmoja na wengine hawana mbadala nafikiri ni mwanzo wa kujenga mgogoro mpya mfano wa uliodumu Zanzibar kwa miaka kumi na tano.Tuna tatizo la msingi la katiba na Tume ya Uchaguzi ambayo kimamlaka inaingiliwa sana na watawala ambao ndio wateuzi wa viongozi wa tume hiyo.Hivyo wanaweza kujiona washindi kwa hivi sasa ila mbele ya safari hali inaweza kuwawia ngumu kutawala nchi hii.Ni suala la muda tu,tusubiri tuone
Kikwete kama humjui ni mtu mwenye mkakati mahususi kuhakikisha kuwa mazimio ya abuja nchi Nigeria yanakamilika kuipeleka Tanzania kwenye himaya ya dini anayoiamini ,nafurahi kuwa watanzania wengi wameliona wanatambua na tayarai wenye uzalendo na taifa hili wakiwemo waislam wenzake wanapinga hatua ya kikwete kuhubiri udini hawa ndiyo vyanzo vyote vya siri kuhusu mikakati inayosukwa dhidi ya kuingiza nchi na watu wake kwenye himaya ya kii-slam kama anabisha tutashusha ushahidi wote mbele ya wana jf