Chonde-chonde chadema

Mr. Clean

Senior Member
Aug 7, 2006
194
44
KWA WALE WAHESHIMIWA MTAKAOKWENDA MJENGONI:
CHONDECHONDE MWENDE MKIJUA KUWA NGUVU YA UMMA INAWASIKILIZA, NA INATARAJIA MTAKWENDA FANYA NA KUTEKELEZA YALE MLOAHIDI HIVYO ITAPELEKEA UMMA UWAPE NGUVU ZAIDI 2015. (kwani jk atachakachua matokeo ya vijijini ya 2010 na atashinda kwa 52%)

Naomba kuwasilisha.
 
We vp bwana tukifika mjengoni tunasubiri aje uyo shangingi akitokeza tu tunapishananae mlangoni.yani vikao vikianza tu akija shangingi kikao kimeisha kwa upande wetu cdm.we unajua nn?Tukimaliza vikao twaenda kula whisk kwa mshua pale beach.utakubali kiaina utakuli kiaina.
 
KWA WALE WAHESHIMIWA MTAKAOKWENDA MJENGONI:
CHONDECHONDE MWENDE MKIJUA KUWA NGUVU YA UMMA INAWASIKILIZA, NA INATARAJIA MTAKWENDA FANYA NA KUTEKELEZA YALE MLOAHIDI HIVYO ITAPELEKEA UMMA UWAPE NGUVU ZAIDI 2015. (kwani jk atachakachua matokeo ya vijijini ya 2010 na atashinda kwa 52%)

Naomba kuwasilisha.
Nakuunga mkono kwa hili,,,matakwa ya wananchi yatekelezwe na kuheshimiwa,Ahsante
 
Kama mambo haya tunao uwezo wa kuyaona mapema hivi then kuna haja ya kutafuta ant dot za mapema vinginevyo tutakuwa wa kulalamika kila siku.
 
Karibu maeneo yote ambayo nimepita na kuhitaji huduma na kuona utendaJI WA viongozi wa CDM kuanzia mtaa, wanatekeleza maoni ya wengi. Mf. mahali ambapo kuna M/kiti wa serikali ya Kijiji toka CDM hakuna malipo yoyote ya kujaza form ambapo ni kinyume na mahali inapoongoza CCM. Kuhusu wabunge, mi wa kwangu ni CDM kwa mara ya pili, Mh. Zitto Kabwe, tayari barabara ya lami ipo na ameahidi umeme na maji na tayari viashiria vya huduma hizo vipo nina uhakika 2015 akiamua kugombea atateleza tu
 
Back
Top Bottom