King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,656
- 68,601
Hata mimi napenda sana wangeenda ila nafsi inanisuta kwamba kuna watu wamekufa,watu wametiwa ulemavu wa kudumu,watu wamepotea,,watu wapo ndani(chechela,segedansi,nondo,gereza,inside,ndichi,ngome,lupango) kwasababu ya huu uchafuzi haramu.Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.
Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.
Halima Mdee, Esther Matiko (my role model) ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.
Kasomeni kitabu cha Mandela "A Long Walk to Freedom", safari ya kupata uhuru si mchezo.
Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani?
Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.
Yes, mmefanyiwa rough, ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?
Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.
Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.
Kitendo cha kwenda bungeni ni dhahiri chadema watakuwa wamekubali kwamba uchaguzi ulikuwa halali,ningependa makamanda espicially madada zetu wakubali kupoteza kujijengea heshima,kuna maisha zaidi ya kuwa mbunge!! ebu oneni kina Wenje walinyang'nywa ubunge lakini bado yupo strong.
Kina Halima,Bulaya,Matiko msiingie kwenye mtego wa Bashiru na mashinji....Ndugai,Teeth,policcm,neccm washameza ndoano waache wapaparike,wameiba kura bila kutumia formula.