Chonde Chonde CHADEMA, pelekeni wabunge bungeni. CCM wanajuta hata kuwapa hizo idadi ya kura iliyowafanya mpate nafasi 19

Ok sawa Chadema wakiwapeleka halafu Ndugai akawatoa nje na kuwafungia kwa vikao 9 vya Bunge watakuwa wamefanya nini??

Pili uporwe ushindi wako halali ukashangilie viti Maalum?? Siyo kwa Halima Mdee.
Dunia inajua wapinzani walicho fanyiwa. Nkubli wabunge waende bungeni. Hii ni kuweka historia sawa..
 
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model)Ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A long walk to Freedom "Safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani ?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes mmefanyiwa rough,ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.
Kwahiyo waende ili wakapinge maendeleo? Si wanasemaga wapinzani kazi yao kupinga maendeleo. Kwahiyo leo CCM wanatamani wapinga maendeleo. Wonders shall never end!!
 
Kwani mnafikiri CCM wanakosa usingizi kwa sababu nyie hampeleki wabunge ?Kwa taarifa yako wanajuta hata kuwapa hiyo idadi ya kura zilizofanya mpate nafasi. Na mwenyekiti CCM anatamani msipeleke wabunge. Na alivyo juu ya sheria hizo nafasi 19 zitajazwa na wabunge wa CCM.
Sawa, basi wasikose huo usingizi wao wachape kazi watuletee maendeleo! , na kwa kuwa umesema kuwa Magufuli anatamani wasipeleke wabunge, basi wasipeleke tu ili maendeleo yaje haraka au wewe hutaki maendeleo? !

Kwa kuwa Magufuli alisema kuwaambia wananchi kuwa wakichagua wapinzani hatopeleka maendeleo, basi ni vizuri kwenda mbele zaidi kuwa si busara kumchanganyia humo bungeni ili alete maendeleo haraka!

Akunyang'anyaye kanzu mwachie na Joho pia!
 
Hii itasaidia nini Taifa letu. Acheni kuzira kupigania maslahi ya nchi si mchezo. Mnatakiwa muwe na ngozi ya mamba.
Mwambie alokutuma kuwa hawako tayari kwa ujinga huo, waendelee wao kama wao kwani ni lazma....!
 
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model)Ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A long walk to Freedom "Safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani ?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes mmefanyiwa rough,ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.
Bunge litakaloongozwa na mpuuzi Ndugai ni nuksi kwa taifa! Ni uchafu mtupu.
 
2025 nitakutag kwenye hii comment yako.Tuombe uzima.

Utahifadhi ngapi Ndugu yangu ,Wapinzani walikuwepo Miaka 5 ya Mh Malaika na wakaambulia maumivu na hakuna kilicho badilika.Uchaguzi huu umeonesha ni kwa kiwango gani Malaika Mkuu haitaji Mawazo mbadala kwa kutumia Vitendo na Vitengo vyake.

Bakini wenyewe tu kwenye hilo Bunge hakuna haja ya kuumiza Maisha ya Binadamu wengine kwa Sababu ya Madaraka ambayo tayari mnayo.
 
Acha kuhangaika kuwaza vitu ambavyo haviwezekani. Kwa sasa wamepata viti 19 waende bungeni. Watakuwa wanatoa hoja walau zitaifanya serikali isijione ipo sawa asilimia 100.
Sisi tunataka maendeleo, na wapinzani walikuwa wanakwamisha maendeleo. Sasa wewe unapochochea wapinzani waende bungeni wakamkwamishe rais wetu kutuletea maendeleo kama walivyomkwamisha miaka mitano iliyopita huoni wewe ni mchochezi kama wachochezi wengine!.
 
Kusaidia Taifa!!? Hawa si ndo tumeambiwa na Mkuu wakati wa kampeni tusimchanganyie, yeye anataka kijani tu kwa sababu hao wengine wanarudisha nyuma maendeleo. Wanachelewesha mijadala ya maendeleo Bungeni.
 
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model)Ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A long walk to Freedom "Safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani ?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes mmefanyiwa rough,ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.
 
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model)Ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A long walk to Freedom "Safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani ?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes mmefanyiwa rough,ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.
Mimi nataka wazire tu ili na hizo nafasi zichukuliwe na CCM.
 
Ndiyo umefikia huku?
 
Mawazo alichinjwa hamkijiuzulu ubunge,au kwa vile jina la mwenyekiti limefekelewa mbali na Magufuli ?Acheni hao 19 waende bungeni wakatusemee wananchi .
mliwakataa kwenye box la kura. Hamkulifikiria hilo kuwa wana umuhimu ? Muache mambo yaende kama mlivyotaka.
 
Acha kuhangaika kuwaza vitu ambavyo haviwezekani. Kwa sasa wamepata viti 19 waende bungeni. Watakuwa wanatoa hoja walau zitaifanya serikali isijione ipo sawa asilimia 100.
Hapana. Lengo letu la kufuta upinzani limefanikiwa kwa 97% . Ni bora sana wapinzani wakakaa pembeni, wasitukwamishe. Kwanza walikuwa wasimbufu Bunge lililopita. Kwani wana umuhimu gani wa uwepo wao kwa wakati huu bungeni kiasi makelele yawe mengi hivi?. Mtuache na Bunge letu, wapinzani hanna faida yoyote ile na katiba yetu inatambua hilo.
 
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.

Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba msipeleke hao wabunge 19. Lengo lao lilikuwa msipate hata viti maalum sema walikosea mahesabu wakawapa kura zilizofanya walau mpate hao wabunge 19.

Halima Mdee, Esther Matiko (my role model) ni muhimu sana kuliko hao wabunge 200+ wa CCM wengi wao vilaza na kazi yao itakuwa ni ndiyooôo.

Kasomeni kitabu cha Mandela "A Long Walk to Freedom", safari ya kupata uhuru si mchezo.

Hivi mnafikiri Mandela angegoma kutoka gerezani eti kisa alifungwa basi afie jela ingekuwa faida kwa nani?

Ni sawa na nyie mnagoma kupeleka wabunge kisa mmefanyiwa rough.

Yes, mmefanyiwa rough, ila kutopeleka wabunge ndo kutawasaidia nini?

Si ni bora mpeleke wabunge walau wataizungumzia hiyo rough bungeni.

Kumbukeni tu kuwa mnakwenda kupigwa kufuli huku nje kwa muda wa miaka mitano. Mmepata hizo nafasi 19 msizichezee. Mtakuja kujuta.

Umefanya massive oversimplification ya jambo gumu sana!
 
Madame no!-no!
 
Back
Top Bottom