Chonde Chonde CCM!, Kakobe Has Powers!, Akisema CCM ni adui wa Mungu, 2020 CCM Haitapata Kura Milioni 10 za Walokole!.

Nimetoa angalizo hili ili wasije kumkamata na kumhoji, asije akakasirika, kutokana na hasira hizo akitoka asije kuwaambia waumini wake Zaidi ya milioni 10 kuwa "ccm ni adui wa Mungu", hivyo waumini wake hawataipigia kura hata mara moja CCM mwaka 2020.
Paskali
Kwa sababu tarehe 28 October, Watanzania tunakwenda kufanya uamuzi, sasa muda huu kabla ya uchaguzi, najifanyia tathmini nilisema nini kuhusu uchaguzi huu, na baada ya matokeo, nitarejea na kupima kilichotokea na nilichokiona kabla.
Natoa wito kwa Watanzania wenzangu, tujitokeze kwa vingi kupiga kura na kuchagua chama, viongozi tunaowataka ambao watatuletea maendeleo ya kweli. Kwa wanaotaka maendeleo ya kweli, watachagua chama na maendeleo ya kweli, lakini kwa wanaotaka porojo tuu, rukhsa kuchagua porojo ni haki yako ya kidemokrasia kuchagua chama chochote, kiongozi yoyote.
Paskali.
 
Back
Top Bottom