Chonde chonde CAG usifike mahala ukatutajia gharama za matibabu ya wabunge kama nyakati zile za Spika Sitta!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,665
Huu mgogoro wa ama dhaifu au siyo dhaifu unakoelekea ni kama yatageuka kuwa mapambano binafsi.

Ninachomsihi CAG ni kusimama kwenye proffessionilism kama alivyofanya kwenye ile Nissan Patrol ya Chadema. Chonde chonde sisi wananchi hatupendi kuona viongozi wetu mkidumu katika malumbano na ndiposa nikalikumbuka lile bunge la mzee Sitta jinsi wabunge walivyokuwa wananunua dawa za gharama kubwa.

Na kule kwenye bunge la Msekwa kuna waziri aliwahi kuwajibishwa na kujiuzulu kwa haya haya mambo ya matumizi kule bungeni.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mwanaharakati Musiba na Jana Ndugai wote wamesema hata Assad akipata ajali akafa Bado ofis ya CAG itaendelea kuwepo


Sijui maana ya mfano huu
 
Mwanaharakati Musiba na Jana Ndugai wote wamesema hata Assad akipata ajali akafa Bado ofis ya CAG itaendelea kuwepo


Sijui maana ya mfano huu
Hahahaa....... Hiyo barabara ya Dom - Moro tuliikumbuka juzi tu kwenye kumbukizi la Moringe!
 
Back
Top Bottom