Herry Ally
Member
- Dec 12, 2016
- 60
- 36
Ilimradi chombo kinauwezo wa kujongea,
hizi ndo fikra za abiria
Ilimradi chombo kinaniletea maslahi ninayopigania
fikra za mmiliki
Ilimradi chombo kinanipa mlo wa siku
fikra za kondakta na utingo wake
ha ha ha ha ha THE BEAUTYFUL ONE ARE BORN.......BUT THEY CORRUPTED