Kwanza swali la Solar System nikiyeanza kuuliza ni mimi, kisha wewe hukujibu, badala yake ukauliza tena swali hilo, huu utoto unao sana, na hii tabia hukomi ila mimi nitaikomesha. Sasa vipi nianze kujibu swali lako wakati swali langu hujajibu na ndilo lililo anza kabla ya lako ?ikiwa lengo lako ni kujifunza ulitakiwa uwe politely and calm ila kujifanya mjuaji kwa kupinga pinga kila kitu bila vivid evidence to support your claims can sometimes be insane. hujui na hutaki kukubali kuwa hujui at the same time unalamisha mtu akufundishe
swali la solar system nimekuuliza wewe kwa lengo la kutaka kujua unalielewa vipi na kwa kutumia facts zipi unaweza disprove
ni mepesi mbona huyajibu?
Pili, sijibu maswali yako sababu utakimbia hoja ya msingi, yaani hatuendi mbele mpaka tumalize katika maswali yangu niliyo yauliza, maswali ambayo hujayakosoa wala hujaweka usahihi wa mambo mpaka muda huu.
Tatu, hapa nashangaa kidogo, mpaka najiuliza inakuwaje umuoga sana kijana ? Nimekwambia kuna njia kadha wa kadha za kubatilisha mambo, ndiyo maana nikakwambia miongoni mwa njia hizo ni kuhoji, kwa ufupi maswali yangu ni miongoni mwa maswali yasiyo jibika hili si kwako tu mpaka kwa wakubwa zako, sababu najua misingi yenu imemili wapi na tatizo lenu kubwa ni lipi.