Chombeza...

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,471
1,225
Mamiss na warembo...
wajisikaje unapotongozwa/chombezwa na jamaa kupitia sms...tofauti na zamani ambapo anaetaka kutangaza nia anakukabili uso kwa macho?:hug::hug:
 

Ikunda

JF-Expert Member
Jul 12, 2010
718
195
huwa sijibu, kwa kuwa najisikia au naona men mwenyewe hajitambui, hajiamini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom