Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
Kwanini mimba zilazimishwe kutoka, wakati mna uwezo wa kuzuia mimba isitungwe vipi kama wewe ungetolewa ungengia JF ukiwa akhera? gharama za uzuiaji zinapatikana bure jamani. Inasikitisha sana kusikia / kuona watoto wakinyanyasika mitaani.
TaiJike ila idadi kubwa ya watu hawajafanikiwa kuzuia mimba kwa njia hizo,nadhani ni asilimia chache sana.Hata hivo tukitoa tutakuwa tumefanya mbinu ya kumwepusha yule mtoto ambaye angezaliwa ktk mazingira magumu.
btw nimekumiss bby