Chobisi

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Enzi hizo bana, unajidai upo chobisi na Kishtobe wako mnapeana Ma-lovedavi, Duh nimekumbuka mbali " Enzi ya Chobisi". Ngoja na leo niingie Chobisi zangu za zamani, Karibuni Chobisi tulambe w/end wakulu mitaa yetu

:rofl::madgrin:
 
Asante sana nini nakaribia mkuu
 
Enzi hizo bana, unajidai upo chobisi na Kishtobe wako mnapeana Ma-lovedavi, Duh nimekumbuka mbali " Enzi ya Chobisi". Ngoja na leo niingie Chobisi zangu za zamani, Karibuni Chobisi tulambe w/end wakulu mitaa yetu

:rofl::madgrin:

Haya mambo ya ajabu kweli, mtu unaweza kuambiwa kanisubirie pale kwenye ile transfoma na wewe unajipeleka kichwa kichwa bila hata kufikiri likilipuka utakuwa wa kwanza kugeuka jivu. :redfaces:
 
Back
Top Bottom